Hipparchos wa Nikaia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
jamii
d All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|sl}} using AWB (10903)
Mstari 11: Mstari 11:
[[Jamii:wanahisabati]]
[[Jamii:wanahisabati]]
[[Jamii:Wataalamu Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Wataalamu Ugiriki ya Kale]]

{{Link FA|sl}}

Pitio la 21:22, 22 Aprili 2015

Faili:Hipparchos 1.jpeg
Hipparchos

Hipparchos (Kigiriki Ἵππαρχος; takr. 190 KK hadi takr. 120 KK) alikuwa mtaalamu wa astronomia, jiografia na hisabati wa Ugiriki ya Kale.

Alizaliwa mjini Nikaia (leo: Iznik katika Uturuki) akafariki kwenye kisiwa cha Rhodos. Hutazamiwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.

Aliorodhesha nyota 800 na kuzichora katika ramani ya anga. Aliweza kukadiria kupatwa kwa jua na kukutabiri.

Katika hisabati alianzisha mbinu za kijiometria kwa mfano mgawanyo wa duara kuwa na nyuzi 360.