Praha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 165 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1085 (translate me)
d →‎Picha za Praha: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|gl}} (3) using AWB (10903)
Mstari 26: Mstari 26:
[[Jamii:Miji ya Ucheki]]
[[Jamii:Miji ya Ucheki]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]

{{Link FA|gl}}
{{Link FA|hu}}
{{Link FA|nl}}

Pitio la 21:16, 22 Aprili 2015

Minara na madaraja ya Praha

Praha (pia: Praga, Prague (tamka: Prag) -Kicheki: Praha) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Ucheki mwenye wakazi milioni 1.2. Kutokana na uzuri wa majengo yake za kihistoria imeitwa "mji wa dhahabu" au "mji wa minara 100".

Jiografia

Mji uko kando la mto Vltava katika Ucheki ya magharibi. Kitovu cha mji kipo katika pindo la mto kati ya vilima viwili. Mji umeenea zaidi hadi nyanda za juu za jirani. Ndani ya eneo la mji kuna visiwa kadhaa mtoni. Milima ya juu karibi na mji inafikia kimo cha 381 na 385 m.

Viungo vya Nje

Picha za Praha

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Praha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.