Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 87 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7209 (translate me)
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
Mstari 5: Mstari 5:


[[Jamii:Uchina]]
[[Jamii:Uchina]]

{{Link FA|en}}
{{Link FA|zh-classical}}
{{Link FA|zh}}

Pitio la 13:53, 22 Aprili 2015

Eneo la utawala wa Han katika Uchina

Nasaba ya Han (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ilifuata utawala wa nasaba ya Qin, na ilitangulia Dola Tatu katika Uchina. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.

Watu wa China huhesabu nasaba ya Han iliyodumu kwa karne nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia yote ya nchi. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya China hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.