Ella Fitzgerald : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 59 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1768 (translate me)
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
Mstari 13: Mstari 13:
[[Category:Waliofariki 1996]]
[[Category:Waliofariki 1996]]
[[Category:Wanamuziki wa Marekani]]
[[Category:Wanamuziki wa Marekani]]

{{Link FA|ka}}

Pitio la 13:42, 22 Aprili 2015

Ella Fitzgerald 1940

Ella Fitzgerald (25 Aprili 191715 Juni 1996) alifahamika kama muimbaji wa kike wa muziki wa Jazz (Lady of songs). Ella Fitzgerald au mama Ella sauti yake ilikuwa ni muhimu sana kwenye muziki wa Jazz na hata mitindo mingine ya muziki katika karne ya ishirini.

Ella Fitzgerald alizaliwa 25 Aprili 1918 mjini Newport News (Va- Marekani). Ella ameshirikiana na wanamuziki wengi mojawapo ni Louis Armstrong "Satchimo" huyu alikuwa ni mpiga tarumpeta mashuhuri. Mama Ella alizama zaidi katika mtindo wa Swing Jazz.

Kati ya nyimbo alizowahi kuimba ni: That old black magic; Can't we be friends?; Love is the thing so they say; It's a blue wold; Dedicated to you; If you ever should live na Sugar blues. Alifariki mwaka 1996.