Ubao : Tofauti kati ya masahihisho
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 8: | Mstari 8: | ||
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua. |
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua. |
||
==Tazama pia== |
|||
*[[Ubao wa matangazo]] |
|||
*[[Mchezo wa ubao]] |
|||
*[[Ubao wa sataranj]] |
|||
{{commonscat|Wood|ubao}} |
{{commonscat|Wood|ubao}} |
||
<!-- interwiki --> |
<!-- interwiki --> |
||
[[Jamii:Malighafi]] |
[[Jamii:Malighafi]] |
||
[[Jamii:Miti]] |
[[Jamii:Miti]] |
||
{{Link FA|hu}} |
Pitio la 08:21, 22 Aprili 2015
Ubao ni dutu inayofanya gogo na matawi ya mti. Ina matumizi muhimu kwa ujenzi na vifaa pia kama kuni kwa moto.
Ubao hutengenezwa na mti wakati wa kukua. Ubao laini katika ganda la nje la gogo hupitisha maji na lishe kutoka mizizi kwa matawi na majani. Kila mwaka ganda jipya linaongezeka nje na ganda la ndani huwa imara na kupoteza uwezo wa kupitisha maji. Mabadiliko haya ya kila mwaka huonekana katika miviringo ya ubao ndani ya mti.
Ubao umetumiwa na wanadamu tangu miaka maelfu. Mwanzoni ilitumiwa kama kuni na fimbo la silaha. Baadaye watu walijifunza kuchonga ubao kwa matumizi mbalimbali kama vile ujenzi, vifaa, sanaa kama uchongaji, karatasi na mengi mengine.
Ubao huwa na faida ni imara lakini si vigumu ya kukata na kuchonga, tena ni nyepesi. Pia inapatikana kwa wingi angalau katika maeneo ambako miti inakua.