Mzee : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mzee''' ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.
'''Mzee''' ni [[mtu]] aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.


Katika jamii za kiafrika sawa na jamii nyingi duniani neno "mzee" linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani. Hapo kuna hoja la kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na maarifa pia kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya maazimio au angalau kutoa ushauri.
Katika [[jamii]] za [[Afrika|Kiafrika]], sawa na jamii nyingi [[dunia]]ni, [[neno]] "mzee" linatumiwa pia kama [[cheo]] cha [[heshima]] kwa kumtaja mtu mwenye [[mamlaka]] fulani.
Hapo kuna [[hoja]] ya kuwa mtu aliyeendelea katika [[umri]] anawazidi [[vijana]] kwa [[hekima]] na [[maarifa]] pia, kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya ma[[azimio]] au angalau kutoa [[ushauri]].


==Mzee katika jamii==
==Mzee katika jamii==
Kimapokeo tamaduni nyingi duniani zinajua heshima ya mzee. Hapo kiongozi anateuliwa kati ya wazee. Halmashauri ya wazee ni bodi ya kufanya maazimio muhimu. Mkutano wa wazee ni mahali pa kuchukua rufaa kwa hiyo ina kazi inayolingana na mahakama kuu katika jamii zenye taasisi hizi.
Ki[[mapokeo]] [[Utamaduni|tamaduni]] nyingi duniani zinajua heshima ya mzee. Hapo [[kiongozi]] anateuliwa kati ya wazee.
[[Halmashauri]] ya wazee ni [[bodi]] ya kufanya maazimio muhimu. Mkutano wa wazee ni mahali pa kuchukua [[rufaa]], kwa hiyo ina [[kazi]] inayolingana na [[mahakama kuu]] katika jamii zenye [[taasisi]] hizo.

Wazee ni watu wanaotunza [[mila]] na [[desturi]] pamoja na [[kumbukumbu]] ya [[historia]] na wanapaswa kusikilizwa kwa heshima.<ref>Elders were and are the guardians of the culture, traditions, and history of the people. Integrity, generosity, wisdom, articulateness, subtlety, patience, tactfulness, gratefulness, and being listened to and respected by others are all qualities of an Elder. [http://www.africanholocaust.net/ritesofpassage.html#elder Elder Roles]</ref>


Katika jamii zilizopangwa kwa [[rika]] (vikundi kulingana na umri), kama [[Wamasai]] au [[Wazulu]], rika la wazee linapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.
Wazee ni watu wanaotunza mila na desturi pamoja na kumbukumbu ya historia na wanapaswa kusikilizwa kwa heshima.
<ref>Elders were and are the guardians of the culture, traditions, and history of the people. Integrity, generosity, wisdom, articulateness, subtlety, patience, tactfulness, gratefulness, and being listened to and respected by others are all qualities of an Elder. [http://www.africanholocaust.net/ritesofpassage.html#elder Elder Roles]</ref>


Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa dhaifu [[ugumu]] unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao.
Katika jamii zilizopangwa kwa [[rika]] (vikundi kulingana na umri) kama Wamasai au [[Wazulu]] rika ya wazee inapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.


Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa wadhaifu ugumu unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao. Tatizo hili ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu wadhaifu hawaishi muda mrefu sana kutokana na uhaba wa nafasi za tiba upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi za tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako asilimia inaanza kupoteza akili au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo. <ref>[http://faculty.usfsp.edu/jsokolov/webbook/fry.pdf Culture and the Meaning of a Good Old Age]</ref> Kama idadi ya wazee wadhaifu mno inazidi ni vigumu kuendelea na hoja la heshima kwa wazee.
[[Tatizo]] hilo ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu dhaifu hawaishi [[muda]] mrefu sana kutokana na [[uhaba]] wa nafasi za [[tiba]] upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi za tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako [[asilimia]] inaanza kupoteza [[akili]] au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo.<ref>[http://faculty.usfsp.edu/jsokolov/webbook/fry.pdf Culture and the Meaning of a Good Old Age]</ref> Kama idadi ya wazee dhaifu mno inazidi ni vigumu kuendelea na hoja ya heshima kwa wazee.


==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
Matumizi ya kulingana ya maneno yenye maana ya "mzee" yanapatikana kwa lugha mbalimbali
[[Matumizi]] ya kulingana ya maneno yenye maana ya "mzee" yanapatikana kwa [[lugha]] mbalimbali:
* neno '''sheikh''' (‏شيخ‎) kwa Kiarabu kiasili linamtaja mtu mwenye umri wa juu, leo imekuwa neno la kutaja watawala, wakuu wa kabila fulani au pia viongozi wa makundi ya kidini ya Kiislamu.
* neno '''[[sheikh]]''' (‏شيخ‎) kwa [[Kiarabu]] kiasili linamtaja mtu mwenye umri wa juu; leo imekuwa neno la kutaja watawala, wakuu wa [[kabila]] fulani au pia viongozi wa ma[[kundi]] ya ki[[dini]] ya [[Uislamu|Kiislamu]].
* "[[Senati]]" katika mfumo wa kisiasa wa nchi mbalimbali ni kitengo cha [[bunge]]. Neno latokana na lugha ya Kilatini "senatus" ambako kiasili lilitaja mkutano wa wazee. Katika Kilatini neno latokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.
* "[[Senati]]" katika mfumo wa kisiasa wa nchi mbalimbali ni kitengo cha [[bunge]]. Neno linatokana na lugha ya [[Kilatini]] "senatus" ambalo kiasili lilitaja "mkutano wa wazee". Katika Kilatini chenyewe neno linatokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.


==Marejeo==
==Tanbihi==
<references/>
<references/>


[[Jamii:Cheo]]
[[Jamii:Cheo]]
[[Jamii:Utamaduni]]

Pitio la 12:04, 18 Aprili 2015

Mzee ni mtu aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.

Katika jamii za Kiafrika, sawa na jamii nyingi duniani, neno "mzee" linatumiwa pia kama cheo cha heshima kwa kumtaja mtu mwenye mamlaka fulani.

Hapo kuna hoja ya kuwa mtu aliyeendelea katika umri anawazidi vijana kwa hekima na maarifa pia, kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya maazimio au angalau kutoa ushauri.

Mzee katika jamii

Kimapokeo tamaduni nyingi duniani zinajua heshima ya mzee. Hapo kiongozi anateuliwa kati ya wazee.

Halmashauri ya wazee ni bodi ya kufanya maazimio muhimu. Mkutano wa wazee ni mahali pa kuchukua rufaa, kwa hiyo ina kazi inayolingana na mahakama kuu katika jamii zenye taasisi hizo.

Wazee ni watu wanaotunza mila na desturi pamoja na kumbukumbu ya historia na wanapaswa kusikilizwa kwa heshima.[1]

Katika jamii zilizopangwa kwa rika (vikundi kulingana na umri), kama Wamasai au Wazulu, rika la wazee linapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.

Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa dhaifu ugumu unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao.

Tatizo hilo ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu dhaifu hawaishi muda mrefu sana kutokana na uhaba wa nafasi za tiba upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi za tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako asilimia inaanza kupoteza akili au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo.[2] Kama idadi ya wazee dhaifu mno inazidi ni vigumu kuendelea na hoja ya heshima kwa wazee.

Mzee katika tamaduni mbalimbali

Matumizi ya kulingana ya maneno yenye maana ya "mzee" yanapatikana kwa lugha mbalimbali:

  • neno sheikh (‏شيخ‎) kwa Kiarabu kiasili linamtaja mtu mwenye umri wa juu; leo imekuwa neno la kutaja watawala, wakuu wa kabila fulani au pia viongozi wa makundi ya kidini ya Kiislamu.
  • "Senati" katika mfumo wa kisiasa wa nchi mbalimbali ni kitengo cha bunge. Neno linatokana na lugha ya Kilatini "senatus" ambalo kiasili lilitaja "mkutano wa wazee". Katika Kilatini chenyewe neno linatokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.

Tanbihi

  1. Elders were and are the guardians of the culture, traditions, and history of the people. Integrity, generosity, wisdom, articulateness, subtlety, patience, tactfulness, gratefulness, and being listened to and respected by others are all qualities of an Elder. Elder Roles
  2. Culture and the Meaning of a Good Old Age