Kisukuma : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d kiungo cha lugha za Kibantu using AWB
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
*[http://multitree.org/codes/suk lugha ya Kisukuma kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/suk lugha ya Kisukuma kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/suk.html ramani ya Kisukuma]
*[http://llmap.org/languages/suk.html ramani ya Kisukuma]
*[http://www.language-archives.org/language/suk makala za OLAC kuhusu Kisukuma]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/suku1261 lugha ya Kisukuma katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/suk
*http://www.ethnologue.com/language/suk
*http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html
*http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html

Pitio la 08:48, 16 Aprili 2015

Kisukuma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasukuma. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisukuma imehesabiwa kuwa watu 5,430,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisukuma iko katika kundi la F20. Inafanana na lugha ya Kinyamwezi.

Viungo vya nje

Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Batibo, Herman. 1985. Le kesukuma (langue bantou de Tanzanie): phonologie, morphologie. (Éditions recherche sur les civilisations, cahier no 17.) Paris: Centre de Recherches, d’Echanges et de Documentation Universitaire (CREDU). Kurasa 340. [ISBN 2-86538-126-0]
  • Richardson, Irvine. 1966. A vocabulary of Sukúma [kuhaririwa na Michael Mann]. African language studies, 7, uk.1-79.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisukuma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.