Mchemraba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9: Mstari 9:
* [[Mjao]] wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
* [[Mjao]] wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
*Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 2<sup>3</sup> = 2x2x2 = 8 cm<sup>3</sup> (=sentimita mjazo).
*Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 2<sup>3</sup> = 2x2x2 = 8 cm<sup>3</sup> (=sentimita mjazo).

[[Picha:Hexahedron flat color.svg|thumbnail|120px|Mchemraba ukifunguliwa]]
==Eneo la uso==
Mchemraba huwa na pande sita sawa. Hivyo eneo la uso wake ni eneo la upande moja mara 6.
*Mfano: Mchemraba una urefu wa sentimita mbili. Hivyo kila upande una 2x2 = 4 sm<sup>2</sup> mara 6 = 24 sm <sup>2</sup>.

==Viungo vya Nje==
*[http://polyhedra.org/poly/show/1/cube Cube: Interactive Polyhedron Model]*
*[http://www.mathopenref.com/cubevolume.html Volume of a cube], with interactive animation
*[http://www.software3d.com/Cube.php Cube] (Robert Webb's site)

[[Category:Jiometria]]
[[Category:Jiometria]]

Pitio la 20:09, 10 Aprili 2015

Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa
Mchemraba ukizunguka

Mchemraba ni gimba lenye pande sita mraba. Ni hali ya pekee ya mchestatili.

  • Una pembe 8 ambazo zote ni pembemraba na urefu, upana na kimo vyote ni sawa.
  • Una kona 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko sambamba

Mjao

  • Mjao wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
  • Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 23 = 2x2x2 = 8 cm3 (=sentimita mjazo).
Mchemraba ukifunguliwa

Eneo la uso

Mchemraba huwa na pande sita sawa. Hivyo eneo la uso wake ni eneo la upande moja mara 6.

  • Mfano: Mchemraba una urefu wa sentimita mbili. Hivyo kila upande una 2x2 = 4 sm2 mara 6 = 24 sm 2.

Viungo vya Nje