Mchemraba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Cube.svg|thumb|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa]]
[[File:Cube.svg|thumb|150px|Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa]]
[[Picha:120px-Hexahedron-slowturn.gif|150px|thumbnail|Mchemraba ukizunguka]]
'''Mchemraba''' ni gimba lenye pande sita [[mraba]]. Ni hali ya pekee ya [[mchestatili]].
'''Mchemraba''' ni gimba lenye pande sita [[mraba]]. Ni hali ya pekee ya [[mchestatili]].



Pitio la 20:03, 10 Aprili 2015

Mchemraba huwa na pande 6 zenye urefu na upana sawa
Mchemraba ukizunguka

Mchemraba ni gimba lenye pande sita mraba. Ni hali ya pekee ya mchestatili.

  • Una pembe 8 ambazo zote ni pembemraba na urefu, upana na kimo vyote ni sawa.
  • Una kona 12 sawa na nne-nne kati ya hizi ziko sambamba

Mjao

  • Mjao wa mchemraba unapatikana kwa kuzidisha urefu kwa upana kwa kimo. Kwa sababu hapo pand zote ni sawa inatosha kuzidisha upande wowote mara tatu.
  • Mfano: urefu wa upande wa mchemraba ni sentimita 2 unapiga hesabu ya 23 = 2x2x2 = 8 cm3 (=sentimita mjazo).