Tofauti kati ya marekesbisho "Eneo"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  miaka 7 iliyopita
tahajia
No edit summary
(tahajia)
 
'''Eneo''' katika elimu ya [[jiometria]] ni idadi inayoeleza ukubwa wa umbo bapa lenye upana na urefu. Kwa hiyo „eneo“ linataja ukubwa wa gimba lenye [[wanda]] mbili.
 
Hii inamaanisha maumbo ya [[jiografia bapa]] kama vile [[mraba]], [[mstatili]] na [[duara]] lakini pia uso wa gimba lenye wanjawanda tatu kama vile [[mchamrembe]] au [[tufe]].
 
Ukubwa wa eneo linapimwa kwa kuulinganisha na miraba maalumu. Katika mfumo wa [[vipimo sanifu vya kimataifa]] kizio sanifu ni [[mita ya mraba]] (inayofupishwa kwa m²). Umbo kama mviringo mwenye eneo la 3 [[m²]] una eneo sawa na miraba mitatu ya aina hii.

Urambazaji