Nubia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumbnail|Farao Ramses II akipigania na Wanubia (mnamo mwaka 100 BK) Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za k...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Ramses II charging Nubians.jpg|thumbnail|Farao [[Ramses II]] akipigana na Wanubia (mchoro wa mwaka [[100]] BK hivi).]]
[[Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za Kikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu.]]
'''Nubia''' (kutokana na jina la wakazi, kwa [[Kiarabu]] نوبة ''nuba'' / ''noba'') ni eneo lilipo kando ya mto [[Naili]] katika [[Misri]] ([[kusini]] kwa [[mji]] wa [[Aswan]]) na [[Sudan]] ([[kaskazini]] kwa [[Karthoum]]).


Katika [[historia]] ilikuwa mahali pa [[ufalme|falme]] mbalimbali, na [[milki]] za [[Kushi]] na [[Meroe]] zilikuwa kubwa kati ya hizo.


Tangu zamani Wanubia walikuwa majirani wa [[Misri ya Kale]] upande wa kusini. Kulikuwa na vipindi ambako Misri ilitawala sehemu kubwa za Nubia, na pia vipindi ambako Misri ya Kale ilishindana na majirani hao kwa [[vita]].
[[Picha:Ramses II charging Nubians.jpg|thumbnail|Farao Ramses II akipigania na Wanubia (mnamo mwaka 100 BK)]]
[[Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za kikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu]]
'''Nubia''' ([[ar.]] نوبة ''nuba'' / ''noba'') ni eneo katika [[Misri]] kusini ya mji wa [[Aswan]] na [[Sudan]] kaskazini ya [[Dongola]] lilipo kando ya mto [[Naili]].


Kutokana na [[picha za ukutani]] katika ma[[kaburi]] ya Misri inaonekana ya kwamba Wanubia walikuwa [[Waafrika weusi]]. [[Jeshi]] la Misri ya kale lilikuwa na vikosi vya Wanubia mara kwa mara. Kutokana na picha hizo inaonekana ya kwamba kulikuwa na ma[[farao]] (wafalme) wenye asili ya Nubia mara kadhaa.
Katika historia ilikuwa mahali pa falme mbalimbali na milki za [[Kushi]] na [[Meroe]] zilikuwa kubwa kati yao.


Mnamo mwaka [[700 KK]] Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama [[nasaba]] ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na [[uvamizi]] wa [[Waashuru]].
Tangu zamani Wanubia walikuwa majirani wa Misri ya Kale upande wa kusini. Kulikuwa na vipindi ambako Misri ilitawala sehemu kubwa za Nubia, na pia vipindi ambako Misri ya Kale ilishindana na majirani hao kwa vita.


Tangu mnamo [[600 KK]] Nubia ilipata [[kitovu]] chake upande wa kusini zaidi katika [[mazingira]] ya Meroe.
Kutokana na picha za ukutani katika makaburi ya Misri inaonekana ya kwamba Wanubia walikuwa Waafrika weusi. Jeshi la Misri ya kale ilikuwa na vikosi vya Wanubia mara kwa mara. Kutokana na picha inaonekana ya kwamba kulikuwa na mafarao (wafalme) wenye asili ya Nubia mara kadhaa. Mnamo mwaka [[700 KK]] Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama nasaba ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na uvamizi wa [[Waashuru]].


[[Waroma wa Kale]] waliotawala Misri baada ya [[Julius Caesar]] walipigana pia mara kadhaa na Wanubia.
Tangu mnamo 600 Nubia ilipata kitovu chake upande wa kusini zaidi katika mazingira ya Meroe.


[[Biblia]] inamtaja [[Towashi Mwethiopia]] kama [[waziri]] wa "[[malkia]] wa Kushi" aliyetembelea [[Yerusalemu]] na kuwa [[Mkristo]] katika [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]], mlango wa 8.
Waroma wa Kale waliotawala Misri baada ya [[Julius Caesar]] walipigana pia mara kadhaa na Wanubia.


Inajulikana ya kwamba tangu [[karne ya 6]] [[BK]] Nubia ilikuwa nchi ya Kikristo. Falme wa Kikristo ziliendelea zikipigana na [[Waarabu]] walivamia na kuteka Misri katika [[karne ya 7]].
[[Biblia]] inamtaja waziri wa "malkia wa Kushi" aliyetembelea [[Yerusalemu]] na kuwa Mkristo katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]], mlango wa 8.


Inajulikana ya kwam,ba tangu karne ya 6 Nubia ilikuwa nchi ya Wakristo. Falme wa kikristo ziliendelea zikipigana na Waarabu walivamia na kuteka Misri katika karne ya 7 BK. Polepole Uislamu ulianza kuenea pamoja na Wavamizi Waarabu na mnamo mwaka 1500 milki ya kikristo ya mwisho katika Nubia ilitekwa na Waislamu mnamnmo mwaka 1500.
Polepole [[Uislamu]] ulianza kuenea pamoja na wavamizi Waarabu na milki ya Kikristo ya mwisho katika Nubia ilitekwa na Waislamu mnamo mwaka [[1504]].


Polepole sehemu kubwa ya Wanubia waliacha lugha yao na kutumia Kiarabu lakini kuna maeneo ambako Kinubia kinazungumzwa hadi leo.
Polepole sehemu kubwa ya Wanubia waliacha [[lugha]] yao na kutumia [[Kiarabu]] lakini kuna maeneo ambako Kinubia kinazungumzwa hadi leo.

Vilevile walizidi kuacha Ukristo na [[kusilimu]] ([[mchakato]] huo ulimalizika katika [[karne ya 19]]).


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
Mstari 28: Mstari 32:
*[http://medievalsaiproject.wordpress.com/ Medieval Sai Project]
*[http://medievalsaiproject.wordpress.com/ Medieval Sai Project]
*[http://www.wdl.org/en/item/2550 "Journey to Ethiopia, Eastern Sudan, and Nigritia"] was written by [[Pierre Trémaux]] in 1862-63. It features extensive descriptions and drawings of Nubia.
*[http://www.wdl.org/en/item/2550 "Journey to Ethiopia, Eastern Sudan, and Nigritia"] was written by [[Pierre Trémaux]] in 1862-63. It features extensive descriptions and drawings of Nubia.

{{mbegu-historia}}


[[Jamii:Historia ya Misri]]
[[Jamii:Historia ya Misri]]

Pitio la 14:34, 6 Aprili 2015

Farao Ramses II akipigana na Wanubia (mchoro wa mwaka 100 BK hivi).
Falme za Kikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu.

Nubia (kutokana na jina la wakazi, kwa Kiarabu نوبة nuba / noba) ni eneo lilipo kando ya mto Naili katika Misri (kusini kwa mji wa Aswan) na Sudan (kaskazini kwa Karthoum).

Katika historia ilikuwa mahali pa falme mbalimbali, na milki za Kushi na Meroe zilikuwa kubwa kati ya hizo.

Tangu zamani Wanubia walikuwa majirani wa Misri ya Kale upande wa kusini. Kulikuwa na vipindi ambako Misri ilitawala sehemu kubwa za Nubia, na pia vipindi ambako Misri ya Kale ilishindana na majirani hao kwa vita.

Kutokana na picha za ukutani katika makaburi ya Misri inaonekana ya kwamba Wanubia walikuwa Waafrika weusi. Jeshi la Misri ya kale lilikuwa na vikosi vya Wanubia mara kwa mara. Kutokana na picha hizo inaonekana ya kwamba kulikuwa na mafarao (wafalme) wenye asili ya Nubia mara kadhaa.

Mnamo mwaka 700 KK Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama nasaba ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na uvamizi wa Waashuru.

Tangu mnamo 600 KK Nubia ilipata kitovu chake upande wa kusini zaidi katika mazingira ya Meroe.

Waroma wa Kale waliotawala Misri baada ya Julius Caesar walipigana pia mara kadhaa na Wanubia.

Biblia inamtaja Towashi Mwethiopia kama waziri wa "malkia wa Kushi" aliyetembelea Yerusalemu na kuwa Mkristo katika kitabu cha Matendo ya Mitume, mlango wa 8.

Inajulikana ya kwamba tangu karne ya 6 BK Nubia ilikuwa nchi ya Kikristo. Falme wa Kikristo ziliendelea zikipigana na Waarabu walivamia na kuteka Misri katika karne ya 7.

Polepole Uislamu ulianza kuenea pamoja na wavamizi Waarabu na milki ya Kikristo ya mwisho katika Nubia ilitekwa na Waislamu mnamo mwaka 1504.

Polepole sehemu kubwa ya Wanubia waliacha lugha yao na kutumia Kiarabu lakini kuna maeneo ambako Kinubia kinazungumzwa hadi leo.

Vilevile walizidi kuacha Ukristo na kusilimu (mchakato huo ulimalizika katika karne ya 19).

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nubia kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.