Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.]]
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>Lukoka ni pendekezo la [[KAST]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
'''Urefu wa wimbi''' (pia '''lukoka'''<ref>Lukoka ni [[pendekezo]] la [[KAST]], [[1995]] lisilotumika sana</ref>; kwa [[Kiingereza]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja [[ukubwa]] wa [[wimbi]].


Ni [[umbali]] kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya [[kilele]] na kilele au ma[[bonde]] yao.
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:

*mawimbi ya maji
Mawimbi yapo kila sehemu ya [[mazingira]] asilia, kwa mfano:
*[[wimbisauti]]
*mawimbi ya [[maji]]
*ma[[wimbisauti]]
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]


Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya [[besi]] yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.
Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na [[milango ya fahamu]] ya [[binadamu]] ni [[sauti]] ya [[besi]] yenye lukoka ya [[mita]] 21. [[Sikio]] letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya [[milimita]] 17 hadi mita 21.


Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
*Urefu wa wimbiredio ni kati ya [[milimita]] 1 hadi [[kilomita]] 100.
*Urefu wa wimbiredio ni kati ya [[milimita]] 1 hadi [[kilomita]] 100.
*nuru inayoonekana kwa macho yetu ina lukoka kati ya [[nanomita]] 380 ([[urujuani]]) hado 780([[nyekundu]]). [[Nyuki]] huona pia mnururisho mfupi zaidi yaani [[urujuanimno]], lakini hawaoni nyekundu.
*nuru inayoonekana kwa [[macho]] yetu ina lukoka kati ya [[nanomita]] 380 ([[urujuani]]) hadi 780 ([[nyekundu]]). [[Nyuki]] huona pia [[mnururisho]] mfupi zaidi yaani [[urujuanimno]], lakini hawaoni nyekundu.
*[[eksirei]] zina lukoka baina ya nanomita 0.01 hadi 10nm
*[[eksirei]] zina lukoka baina ya nanomita 0.01 hadi 10.
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].


==Urefu wa wimbi na marudio==
==Urefu wa wimbi na marudio==
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni madogo.


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 29: Mstari 31:
*[http://www.magnetkern.de/spektrum.html The visible electromagnetic spectrum displayed in web colors with according wavelengths]
*[http://www.magnetkern.de/spektrum.html The visible electromagnetic spectrum displayed in web colors with according wavelengths]


[[jamii:fizikia]]
[[Jamii:Fizikia]]

Pitio la 10:32, 2 Aprili 2015

Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.

Urefu wa wimbi (pia lukoka[1]; kwa Kiingereza wavelength) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi.

Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia, kwa mfano:

Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Urefu wa wimbi na marudio

Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni madogo.

Marejeo

  1. Lukoka ni pendekezo la KAST, 1995 lisilotumika sana

Tovuti za Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: