Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>pendekezo la [[Kast]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>Lukoka ni pendekezo la [[KAST]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:

Pitio la 20:51, 1 Aprili 2015

Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili

Urefu wa wimbi (ing. wavelength, pia lukoka[1]) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:

Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Urefu wa wimbi na marudio

Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.

Marejeo

  1. Lukoka ni pendekezo la KAST, 1995 lisilotumiwa sana

Tovuti za Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: