Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
urefu wa mawimbi badala ya lukoka
No edit summary
Mstari 19: Mstari 19:
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.


==Marejeo==
<references/>


==Marejeo ya Nje==
==Tovuti za Nje==
*[http://www.wisegeek.com/what-is-a-wavelength.htm What is wavelenghth? (wisegeek)]
*[http://www.wisegeek.com/what-is-a-wavelength.htm What is wavelenghth? (wisegeek)]
{{commonscat}}
{{commonscat}}

Pitio la 20:50, 1 Aprili 2015

Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili

Urefu wa wimbi (ing. wavelength, pia lukoka[1]) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:

Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Urefu wa wimbi na marudio

Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.

Marejeo

  1. pendekezo la Kast, 1995 lisilotumiwa sana

Tovuti za Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: