Masafa ya mawimbi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Kipala moved page Lukoka to Urefu wa wimbi over redirect
urefu wa mawimbi badala ya lukoka
Mstari 1: Mstari 1:
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[file:Periodic waves in shallow water.png|thumb|300px|Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
[[Picha:Sine wavelength.svg|300px|thumbnail|Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili]]
'''Lukoka''' au '''urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'') ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.
'''Urefu wa wimbi''' ([[ing.]] ''wavelength'', pia '''lukoka'''<ref>pendekezo la [[Kast]], 1995 lisilotumiwa sana</ref>) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa [[wimbi]]. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.


Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:
Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:
Mstari 8: Mstari 8:
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]
*[[mawimbi sumakuumeme]] pamoja na [[nuru]] na [[wimbiredio]]


Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Lukoka ndefu inayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya [[besi]] yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua lukoka kati ya milimita 17 hadi mita 21.
Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya [[besi]] yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.


Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.
Mstari 16: Mstari 16:
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].
*urefu wa mawimbi [[gammarei]] iko katika upeo wa [[pikomita]].


==Lukoka na marudio==
==Urefu wa wimbi na marudio==
Lukoka huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, lukoka yake ni ndogo. Vilevile kinyume kama lukoka ina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.
Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na [[marudio]] ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.





Pitio la 20:49, 1 Aprili 2015

Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inonyesha umbali kati vilele vya mawimbi mawili au urefu wa wimbi = lukoka.
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili

Urefu wa wimbi (ing. wavelength, pia lukoka[1]) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi. Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia , kwa mfano:

Urefu wa mawimbi unatofautiana sana. Mawimbi ndefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye lukoka ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye urefu kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Urefu wa wimbi na marudio

Urefu wa wimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni juu, urefu wake ni mdogo. Vilevile kinyume kama wimbi lina urefu mkubwa, marudio yake ni ndogo.


Marejeo ya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  1. pendekezo la Kast, 1995 lisilotumiwa sana