Mchezo wa ng'ombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Bull attacks matador.jpg|left|thumb|250px|Torero akimkasirisha ng'ombe dume kwa kitambaa chekundu]]
[[Image:Matador.JPG|250px|thumb|Matador akilenga kumwua ngombe kwa upanga wake]]
'''Mchezo wa Ng'ombe''' ni desturi inayojulikana hasa katika nchi za [[Hispania]] na [[Ureno]]. Imekuwa pia mila ya pekee kwenye [[Kisiwa cha Pemba]], [[Tanzania]].
'''Mchezo wa Ng'ombe''' ni desturi inayojulikana hasa katika nchi za [[Hispania]] na [[Ureno]]. Imekuwa pia mila ya pekee kwenye [[Kisiwa cha Pemba]], [[Tanzania]].


Historia ya desturi hii inarudi nyuma hadi zamani za [[Dola la Roma]] watu walipopenda kuwa na maonyesho ya mapambano ya wanyama pori, ama ya wenyewe kwa wenyewe au zaidi ya watu dhidi ya wanyama hawa. Maonyesho haya yalifanyika katika uwanja wa mji kwa mfano uwanja wa [[Koloseo]] huko [[Roma]]. Desturi hii imepotea kila sehemu ya eneo la kale la Dola la Roma kwa sababu ilipingwa na kanisa la kikristo isipokuwa [[Hispania]] na [[Ureno]]. Ilhali Wahispania wanaua ngombe wa dume Wareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua. Wahispania walipeleka mchezo hadi [[Amerika ya Kusini]] kama vile [[Mexiko]].
Historia ya desturi hii inarudi nyuma hadi zamani za [[Dola la Roma]] watu walipopenda kuwa na maonyesho ya mapambano ya wanyama pori, ama ya wenyewe kwa wenyewe au zaidi ya watu dhidi ya wanyama hawa. Maonyesho haya yalifanyika katika uwanja wa mji kwa mfano uwanja wa [[Koloseo]] huko [[Roma]]. Desturi hii imepotea kila sehemu ya eneo la kale la Dola la Roma kwa sababu ilipingwa na kanisa la kikristo isipokuwa [[Hispania]] na [[Ureno]]. Ilhali Wahispania wanaua ngombe wa dume Wareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua. Wahispania walipeleka mchezo hadi [[Amerika ya Kusini]] kama vile [[Mexiko]]. Kwa Kihispania wale wanoshindana uwanjani na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador".


==Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani==
==Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani==
Mstari 14: Mstari 16:
[http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw Abdullah Amur Suleiman akieleza mchezo huu wa kitaifa]
[http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw Abdullah Amur Suleiman akieleza mchezo huu wa kitaifa]


[[Category:Tanzania]]
[[Category:Michezo]]


[[ca:Tauromàquia]]
[[ca:Tauromàquia]]
[[cs:Býčí zápasy]]
[[cs:Býčí zápasy]]
[[de:Stierkampf]]
[[de:Stierkampf]]
en:
[[es:Corrida de toros]]
[[es:Corrida de toros]]
[[eo:Toreo]]
[[eo:Toreo]]

Pitio la 12:39, 11 Mei 2006

Torero akimkasirisha ng'ombe dume kwa kitambaa chekundu
Matador akilenga kumwua ngombe kwa upanga wake

Mchezo wa Ng'ombe ni desturi inayojulikana hasa katika nchi za Hispania na Ureno. Imekuwa pia mila ya pekee kwenye Kisiwa cha Pemba, Tanzania.

Historia ya desturi hii inarudi nyuma hadi zamani za Dola la Roma watu walipopenda kuwa na maonyesho ya mapambano ya wanyama pori, ama ya wenyewe kwa wenyewe au zaidi ya watu dhidi ya wanyama hawa. Maonyesho haya yalifanyika katika uwanja wa mji kwa mfano uwanja wa Koloseo huko Roma. Desturi hii imepotea kila sehemu ya eneo la kale la Dola la Roma kwa sababu ilipingwa na kanisa la kikristo isipokuwa Hispania na Ureno. Ilhali Wahispania wanaua ngombe wa dume Wareno wanawachezea tu hadi kuwaangusha chini bila kuwaua. Wahispania walipeleka mchezo hadi Amerika ya Kusini kama vile Mexiko. Kwa Kihispania wale wanoshindana uwanjani na ng'ombe dume wanaitwa "torero"; mkuu wao atakayemwua kwa pigo la upanga wake ni "matador".

Mchezo wa ng'ombe Pemba kisiwani

Pemba ndipo mahali pa pekee katika Afrika penye desturi hii ya mchezo wa ng'ombe. Hii ni kutokana na athira ya Ureno kwenye mwambao wa Afrika ya Mashariki miaka 400 iliyopita. Mara Wareno walikuwa na kituo huko Chakechake, mara walikuwa na mapatano ya usaidizi na Pemba, mara waliuachia utawala Sultani wa Mombasa. Haijulikani jinsi walivyoacha desturi hii Pemba.

Kuhusu mchezo huu amesema Abdullah Amur Suleiman (http://groups.msn.com/SitiBintiSaad/mchezowangombebullfight.msnw): Mchezo wa ng’ombe ni mchezo wa taifa huko Pemba, hapana mtoto wa kiume hata mmoja wa Kipemba, akiwa mwenye asili ya Kiafrika au Kiarabu ambaye hajuwi kumcheza Ng’ombe. Mchezo huu jinsi unavyopendwa na vijana wa kiume wa Pemba ni kama vile wavulana wanavyoupenda mchezo wa mpira yaani ‘football’, huko Zanzibar, Tanzania bara na kwingineko ulimwenguni. Aghlabu mchezo wa ng’ombe huchezwa wakati wa watu ambao wamerejea mavunoni na karafuu zimekwisha tena na hapo hutazamiya kustarehe. Watu wengi hujumuika kwenye sherehe hizo za mchezo wa ng’ombe na hawaji tu kuona mchezo huo lakini hulipa ada maalum kwa ajili ya kuuona namna mchezo huo ufanywavyo na mastadi wake hodari.

Viungo vya Nje

Abdullah Amur Suleiman akieleza mchezo huu wa kitaifa en: