Ujuzi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Francis Bacon.jpg|thumbnail|300px|Mwanafalsafa Francis Bacon alisema "Ujuzi ni mamlaka" ("knowledge is power")]]
[[Picha:Francis Bacon.jpg|thumbnail|250px|[[Mwanafalsafa]] [[Francis Bacon]] alisema "Ujuzi ni mamlaka" ("knowledge is power").]]
'''Ujuzi'''maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi. Tunapata ujuzi kwa maarifa yetu au kwa njia ya kufundishwa tukitazama, kutambua, kulinganisha na kutafakari yale tuliyoona na kujifunza.
'''Ujuzi''' maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa [[hali]], [[habari]] na maelezo yanayohusu [[mazingira]] tunapoishi. Tunapata ujuzi kwa [[maarifa]] yetu au kwa njia ya kufundishwa tukitazama, kutambua, kulinganisha na kutafakari yale tuliyoona na kujifunza.


Kimsingi tunaona tofauti kati ya ujuzi na rai au hoja tupu. Rai na hoja zinakuja pamoja na hisia na maarifa ambayo mara nyingi haikutafakiriwa kimakini. Kinyume chake ujuzi ni yale tunayoona kuwa una kiwango kikubwa cha uhakika baada ya kujadiliwa na watu wengi katika mchakato unaoeleweka. Lakini kila ujuzi una kiwango cha kukosa uhakika kwa sababu uwezekano wa makosa katika kuelewa halisia unabaki kila wakati.
Kimsingi tunaona [[tofauti]] kati ya ujuzi na [[rai]] au [[hoja]] tupu. Rai na hoja zinakuja pamoja na [[hisia]] na maarifa ambayo mara nyingi haikutafakariwa kimakini. Kinyume chake ujuzi ni yale tunayoona kuwa yana [[kiwango]] kikubwa cha [[uhakika]] baada ya kujadiliwa na watu wengi katika [[mchakato]] unaoeleweka. Lakini kila ujuzi una kiwango cha kukosa uhakika kwa sababu [[uwezekano]] wa ma[[kosa]] katika kuelewa [[uhalisia]] unabaki kila [[wakati]].


Katika [[falsafa]] elimu jinsi ya kupata ujuzi huitwa [[epistomolojia]]. Mwanafalsafa [[Plato]] alieleza ujuzi kuwa "rai ya kweli yenye msingi mzuri" (englisch justified true belief).
Katika [[falsafa]] elimu jinsi ya kupata ujuzi huitwa [[epistomolojia]]. Mwanafalsafa [[Plato]] alieleza ujuzi kuwa "rai ya kweli yenye msingi mzuri" (englisch justified true belief).


{{mbegu}}
[[jamii:falsafa]]

[[Jamii:Falsafa]]
[[Jamii:Elimu]]

Pitio la 15:39, 10 Machi 2015

Mwanafalsafa Francis Bacon alisema "Ujuzi ni mamlaka" ("knowledge is power").

Ujuzi maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi. Tunapata ujuzi kwa maarifa yetu au kwa njia ya kufundishwa tukitazama, kutambua, kulinganisha na kutafakari yale tuliyoona na kujifunza.

Kimsingi tunaona tofauti kati ya ujuzi na rai au hoja tupu. Rai na hoja zinakuja pamoja na hisia na maarifa ambayo mara nyingi haikutafakariwa kimakini. Kinyume chake ujuzi ni yale tunayoona kuwa yana kiwango kikubwa cha uhakika baada ya kujadiliwa na watu wengi katika mchakato unaoeleweka. Lakini kila ujuzi una kiwango cha kukosa uhakika kwa sababu uwezekano wa makosa katika kuelewa uhalisia unabaki kila wakati.

Katika falsafa elimu jinsi ya kupata ujuzi huitwa epistomolojia. Mwanafalsafa Plato alieleza ujuzi kuwa "rai ya kweli yenye msingi mzuri" (englisch justified true belief).