Tafsiri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Rosetta Stone.JPG|thumbnail|Jiwe la Rosetta kutoka Misri ya Kale iko kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu)]]
[[Picha:Rosetta Stone.JPG|thumbnail|[[Jiwe la Rosetta]] kutoka [[Misri ya Kale]] ni kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu).]]
'''Tafsiri''' ni kazi ya kutoa maana ya [[maneno]] kutoka lugha moja kwenda [[lugha]] nyingine.
'''Tafsiri''' ni [[kazi]] ya kutoa maana ya [[maneno]] kutoka lugha moja kwenda [[lugha]] nyingine.


Mtu anayefanya kazi hii huitwa [[mfasiri]].
Mtu anayefanya kazi hii huitwa [[mfasiri]] au [[mkalimani]].


Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.
Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.
* Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa uzuri katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia methali au lugha ya mifano na picha.
* Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa [[uzuri]] katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia [[methali]] au [[lugha ya mifano]] na [[lugha ya picha]].
* Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa umbo nzuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna hatari ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza rai za mfasiri.
* Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa [[umbo]] zuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna [[hatari]] ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza [[rai]] za mfasiri mwenyewe.



==Viungo vya nje==
{{commonscat}}
{{commonscat}}


{{mbegu-fasihi}}
[[Category:lugha]]

[[Category:Lugha]]
[[Jamii:Fasihi]]

Pitio la 15:33, 10 Machi 2015

Jiwe la Rosetta kutoka Misri ya Kale ni kati ya mifano ya kwanza ya tafsiri (ina matini ileile kwa lugha tatu).

Tafsiri ni kazi ya kutoa maana ya maneno kutoka lugha moja kwenda lugha nyingine.

Mtu anayefanya kazi hii huitwa mfasiri au mkalimani.

Hakuna tafsiri kamili kabisa. Kila mfasiri hana budi kuchagua.

  • Akikaa karibu zaidi kwa matini ya lugha ya asili, tafsiri yake inaweza kukosa uzuri katika lugha ya kutafsiriwa. Pia anaweza kukosa maana ya maneno ya asili hasa kama yalitumia methali au lugha ya mifano na lugha ya picha.
  • Akielekea kutoa maana ya maneno asilia kwa umbo zuri katika lugha ya kutafsiriwa kuna hatari ya kwenda mbali kiasi na yale yaliyosemwa awali na kuingiza rai za mfasiri mwenyewe.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tafsiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.