Gesi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 109 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11432 (translate me)
No edit summary
 
Mstari 10: Mstari 10:


Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.
Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.

Kuhusu gesi inayotumiwa kwa kuichoma kwenye jiko au katika injini angalia [[gesi asilia]].


== Tazama pia ==
== Tazama pia ==

Toleo la sasa la 06:04, 8 Machi 2015

Atomi au molekyuli katika hali ya gesi
Atomi au molekyuli katika hali mango
Atomi au molekyuli katika hali kiowevu

Gesi ni moja kati ya hali maada. Katika hali ya gesi atomi hazishikani pamoja kama gimba mango bali zaelea kwa mwendo huria.

Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi haina umbo wala mjao kamili. Inawezekana pia kukaza gesi kwa mfano ndani ya chombo na kupunguza mjao kwa njia hii.

Mjao wa gesi hutegemea halijoto na shindikizo. Kama halijoto inaongezeka na shindikizo haibadiliki mjao utaongezeka.

Elmenti na dutu nyingi zapatikana kwa hali ya gesi.

Kuhusu gesi inayotumiwa kwa kuichoma kwenye jiko au katika injini angalia gesi asilia.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]