Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 12: Mstari 12:
Tangu miaka ya 1990 kitovu cha mji kinahamishwa kutoka eneo la zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.
Tangu miaka ya 1990 kitovu cha mji kinahamishwa kutoka eneo la zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.


Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasfwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa Wanyakyusa kutoka wilaya ya Rungwe. Mbeya imeanzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa [[Kanisa la Katoliki]], [[Kanisa la Moravian]], [[Kanisa la Kiluteri]]. Kuna pia msikiti kubwa na hekalu ya Wahindu.
Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasfwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa mchanganyiko wa Wsafwa pamoja na makabila ya Wanyakyusa kutoka wilaya ya Rungwe, Wanyiha kutoka Mbozi, Wandali kutoka Ileje na Wakinga kutoka Makete. Mbeya imeanzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Maana ya Mbeya inatoka na na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi. Hivyo ba si kwenye miaka ya awali wafanya biashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi. Sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa [[Kanisa la Katoliki]], [[Kanisa la Moravian]], [[Kanisa la Kiluteri]]. Kuna pia msikiti kubwa na hekalu ya Wahindu.




{{Mikoa ya Tanzania}}
{{Mikoa ya Tanzania}}

Pitio la 19:11, 10 Mei 2006

Mbeya Jina la mkoa (Mkoa wa Mbeya), wilaya na mji wa Tanzania Kusini-Magharibi


Mbeya, mji

Mbeya ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Umbali na Daressalaam ni kama km 850 kwa barabara ya lami. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa wapatao 280.000 katika mw. 2005. Wengine mnamo 300.000 wanaishi katika mazingira karibu na Mbeya mjini.

Kuna njiapanda ya njia mbalimbali muhimu: Barabara kuu ya lami kutoka Daressalaam hugawanya hapa kwenda Malawi – Msumbiji kupitia Tukuyu/Rungwe, na kwenda Zambia – Afrika Kusini kupitia Tunduma/Mbozi. Vilevile njia ya reli ya TAZARA hupita Mbeya kuelekea Zambia. Kuna ghala kubwa kwa ajili ya mizigo ya Malawi inayofikishwa kwa reli kutoka Daresalaam bandarini ikihamishwa kwa malori kwenda Malawi hapa Mbeya.

Mbeya imekuwa na uwanja wa ndege ndogo isiyokuwa na huduma ya kawaida kwa muda mrefu. Lakini kuna mipango ya kujenga uwanja mpya huko Songwe zipatao km 40 kufuata njia ya kwenda Zambia.

Tangu miaka ya 1990 kitovu cha mji kinahamishwa kutoka eneo la zamani kwenda karibu na barabara kuu ya Daresalaam – Zambia.

Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasfwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa mchanganyiko wa Wsafwa pamoja na makabila ya Wanyakyusa kutoka wilaya ya Rungwe, Wanyiha kutoka Mbozi, Wandali kutoka Ileje na Wakinga kutoka Makete. Mbeya imeanzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Maana ya Mbeya inatoka na na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi. Hivyo ba si kwenye miaka ya awali wafanya biashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi. Sehemu kubwa ya wakazi ni wakristo, hasa wafuasi wa Kanisa la Katoliki, Kanisa la Moravian, Kanisa la Kiluteri. Kuna pia msikiti kubwa na hekalu ya Wahindu.