Aruba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16: Mstari 16:
|largest_city = Oranjestad
|largest_city = Oranjestad
|government_type = [[Ufalme wa kikatiba]]
|government_type = [[Ufalme wa kikatiba]]
|leader_title1 = [[Malkia]]
|leader_title1 = [[Mfalme]]
|leader_name1 = [[Beatrix wa Uholanzi]]
|leader_name1 = [[Willem-Alexander wa Uholanzi]]
|leader_title2 = [[Govana]]
|leader_title2 = [[Gavana]]
|leader_name2 = [[Fredis Refunjol]]
|leader_name2 = [[Fredis Refunjol]]
|leader_title3 = [[Prime Minister of Aruba|Prime Minister]]
|leader_title3 = [[Prime Minister of Aruba|Prime Minister]]
|leader_name3 = [[Nelson O. Oduber]]
|leader_name3 = [[Mike Eman]]
|leader_title4 = [[Vice-Prime Minister of Aruba|Vice-Prime Minister]]
|leader_title4 = [[Vice-Prime Minister of Aruba|Vice-Prime Minister]]
|leader_name4 = [[Marisol Lopez-Tromp]]
|leader_name4 = [[Marisol Lopez-Tromp]]
Mstari 30: Mstari 30:
|land_area_rank = ya 214
|land_area_rank = ya 214
|area_magnitude = 1 E8
|area_magnitude = 1 E8
|area = 193
|area = 178.91
|area_rank =
|area_rank =
|areami² = 74.5
|areami² = 74.5
|percent_water = -
|percent_water = -
|population_estimate = 103.484
|population_estimate = 102,911
|population_estimate_rank = ya 195
|population_estimate_rank = ya 197
|population_estimate_year = 2006
|population_estimate_year = 2013
|population_density = 571
|population_density = 575.21
|population_densitymi² = 1479
|population_densitymi² = 1489.79
|population_density_rank = ya 18
|population_density_rank = ya 22
|GDP_PPP = $2.45 billion
|GDP_PPP = $2.45 billion
|GDP_PPP_rank = ya 182
|GDP_PPP_rank = ya 182
Mstari 65: Mstari 65:
Mwaka [[1986]] ilipata [[madaraka]] yote ya kujitawla chini ya [[taji]] la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka [[1996]] lakini [[serikali]] ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.
Mwaka [[1986]] ilipata [[madaraka]] yote ya kujitawla chini ya [[taji]] la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka [[1996]] lakini [[serikali]] ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.


Wakazi ni mchanganyiko wa [[Waindio]], [[Wazungu]] na pia [[Waafrika]]. [[Watumwa]] Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya [[Karibi]] kwa sababu [[kisiwa]] hicho hakikuwa na ma[[shamba]] mengi ya [[miwa]] kutokana na [[ukame]] wa mahali.
Wakazi kwa [[asilimia]] 80 ni mchanganyiko wa [[Waindio]], [[Wazungu]] na pia [[Waafrika]]. [[Watumwa]] Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya [[Karibi]] kwa sababu [[kisiwa]] hicho hakikuwa na ma[[shamba]] mengi ya [[miwa]] kutokana na [[ukame]] wa mahali.

Upande wa [[dini]], 81% ni [[Wakatoliki]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
Mstari 78: Mstari 80:
[[Jamii:Nchi za visiwa]]
[[Jamii:Nchi za visiwa]]
[[Jamii:Amerika ya Kati]]
[[Jamii:Amerika ya Kati]]
[[Jamii:Amerika ya Kusini]]
[[Jamii:Amerika Kusini]]

Pitio la 12:42, 22 Februari 2015

Aruba


Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani ya Venezuela.

Inajitawala kama nchi mwanachama katika Ufalme wa Uholanzi lakini si sehemu ya Uholanzi.

Watu wa Aruba walielekea kwenye uhuru kamili wa kisiasa katika miaka ya 1980 na ya 1990.

Mwaka 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawla chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.

Wakazi kwa asilimia 80 ni mchanganyiko wa Waindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa hicho hakikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.

Upande wa dini, 81% ni Wakatoliki.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.