Aruba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 117 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q21203 (translate me)
No edit summary
Mstari 57: Mstari 57:
}}
}}


'''Aruba''' ni nchi ya kisiwani katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na pwani la [[Venezuela]]. Inajitawala kama nchi mwanachama katika Ufalme wa Uholanzi lakini si sehemu ya [[Uholanzi]].
'''Aruba''' ni [[nchi ya kisiwani]] katika [[Bahari ya Karibi]] karibu na [[pwani]] ya [[Venezuela]].


Inajitawala kama nchi mwanachama katika [[Ufalme wa Uholanzi]] lakini si sehemu ya [[Uholanzi]].
Watu wa Aruba walielekea kwa uhuru wa kisiasa katika miaka ya 1980 na 1990. 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawla chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mipango hii.


Watu wa Aruba walielekea kwenye [[uhuru]] kamili wa kisiasa katika [[miaka ya 1980]] na [[miaka ya 1990| ya 1990]].
Wakazi ni mchanganyiko wa Maindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa haikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.


Mwaka [[1986]] ilipata [[madaraka]] yote ya kujitawla chini ya [[taji]] la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka [[1996]] lakini [[serikali]] ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.

Wakazi ni mchanganyiko wa [[Waindio]], [[Wazungu]] na pia [[Waafrika]]. [[Watumwa]] Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya [[Karibi]] kwa sababu [[kisiwa]] hicho hakikuwa na ma[[shamba]] mengi ya [[miwa]] kutokana na [[ukame]] wa mahali.

==Viungo vya nje==
{{commons}}
{{commons}}


{{Amerika Kaskazini}}
{{mbegu-jio-Karibi}}
{{mbegu-jio-Karibi}}


Mstari 70: Mstari 76:
[[Jamii:Aruba]]
[[Jamii:Aruba]]
[[Jamii:Uholanzi]]
[[Jamii:Uholanzi]]
[[Jamii:Nchi za visiwa]]
[[Jamii:Amerika ya Kati]]
[[Jamii:Amerika ya Kusini]]

Pitio la 12:36, 22 Februari 2015

Aruba


Aruba ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi karibu na pwani ya Venezuela.

Inajitawala kama nchi mwanachama katika Ufalme wa Uholanzi lakini si sehemu ya Uholanzi.

Watu wa Aruba walielekea kwenye uhuru kamili wa kisiasa katika miaka ya 1980 na ya 1990.

Mwaka 1986 ilipata madaraka yote ya kujitawla chini ya taji la Uholanzi. Uhuru kamili ulipangwa kwa mwaka 1996 lakini serikali ya Aruba iliomba kutoendelea na mpango huo.

Wakazi ni mchanganyiko wa Waindio, Wazungu na pia Waafrika. Watumwa Waafrika hawakuwa wengi jinsi ilivyo kwenye visiwa vingi vya Karibi kwa sababu kisiwa hicho hakikuwa na mashamba mengi ya miwa kutokana na ukame wa mahali.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aruba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.