Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Taarifa zilizopitwa na wakati
Mstari 72: Mstari 72:


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
{{commons}}
* {{en}} {{hi}} [http://india.gov.in/ Tovuti rasmi]
* {{en}} {{hi}} [http://india.gov.in/ Tovuti rasmi]
* {{en}} [http://www.bizagra.com India Travel]
* {{en}} [http://www.bizagra.com India Travel]
Mstari 82: Mstari 83:
[[Jamii:Uhindi| ]]
[[Jamii:Uhindi| ]]
[[Jamii:Nchi za Asia]]
[[Jamii:Nchi za Asia]]
[[Jamii:Jumuiya ya Madola]]


{{Link FA|de}}
{{Link FA|de}}

Pitio la 14:09, 21 Februari 2015

Uhindi

Uhindi (pia: India) ni nchi katika bara la Asia. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi (1,210,193,422 mwaka 2011) ni nchi ya pili duniani baada ya China. Ni nchi ya kidemokrasia yenye watu wengi zaidi duniani.

Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.

Mji mkuu ni New Delhi, lakini mji mkubwa zaidi ni Mumbai.

Wakazi walio wengi (80.5 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 13.4 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya tatu katika umma wa Kiislamu baada ya Waislamu wa Indonesia. Dini nyingine ni Ukristo (2.3%), Usikh (1,9%), Ubuddha (0.8%), Ujain (0.4%), Uzoroastro na Bahai.

Lugha rasmi ni Kihindi, ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya, pamoja na Kiingereza. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema lugha kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam. Kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 29 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Historia

:tazama pia: Uhindi wa Kiingereza

Tazama pia

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA