Urithi wa Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9259 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya ki[[utamaduni]] au ki[[mazingira]] duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]].
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya ki[[utamaduni]] au ki[[mazingira]] duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]].

Hadi mwisho wa mwaka [[2009]] sehemu 890 katika nchi 148 zimekubaliwa. Nchi inayoongoza kwa wingi wa mahali ni [[Italia]] yenye 45.
Hadi mwisho wa mwaka [[2014]] sehemu 1007 katika nchi 161 zimekubaliwa. Nchi inayoongoza kwa wingi wa mahali ni [[Italia]] yenye 5O, ikifuatwa na [[China]] (47) na [[Hispania]] (44).

[[Afrika]] ina mahali 91.
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 689 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 176 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 25 pa mseto.

Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 779 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 197 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 31 pa mseto.

Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu]] la [[Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.

Mstari 20: Mstari 22:
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
* [http://whc.unesco.org/ Tovuti rasmi kwa Kiingereza]
* [http://whc.unesco.org/ Tovuti rasmi kwa Kiingereza]

{{mbegu}}

[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]
[[Jamii:Umoja wa Mataifa]]

Pitio la 12:55, 17 Februari 2015

Urithi wa Dunia ni maeneo yenye thamani kubwa ya kiutamaduni au kimazingira duniani yanayoangaliwa na shirika la UNESCO.

Hadi mwisho wa mwaka 2014 sehemu 1007 katika nchi 161 zimekubaliwa. Nchi inayoongoza kwa wingi wa mahali ni Italia yenye 5O, ikifuatwa na China (47) na Hispania (44).

Afrika ina mahali 91.

Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 779 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 197 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 31 pa mseto.

Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa bwawa la Assuan lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa Misri na Nubia wa kale chini ya maji. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya pesa ili hekalu la Abu Simbel liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.

Tangu 1972 kuna mkataba wa kimataifa wa Stockholm kuhusu hifadhi ya urithi wa dunia kiutamaduni na kimazingira.

Kila mahali panapopendekezwa ili pakubaliwe panahitaji angalau sifa moja kati ya sita zifuatazo:

  • kuwa na thamani ya pekee ya kisanii
  • kuwa na athira muhimu katika eneo fulani au kipindi cha historia
  • kuwa kitu cha pekee kisichopatikana tena au kuwa na umri mkubwa
  • kuwa mfano bora wa kipindi fulani cha historia ya ujenzi
  • kuwa muhimu katika uhusiano na fikra muhimu au watu muhimu wa historia

Kamati ya Urithi wa Dunia hukutana kila mwaka na kuangalia maombi ya kupokelewa katika orodha ya urithi wa dunia. Kamati inapokea taarifa kuhusu hifadhi na hali ya urithi uliopo tayari orodhani. Kila baada ya miaka miwili orodha inatolewa upya.

Viungo vya nje

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA