Nagasaki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38234 (translate me)
dNo edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
[[Picha:Map Nagasaki en.png|thumb|300px|Mahali pa Nagasaki]]
[[Picha:Map Nagasaki en.png|thumb|300px|Mahali pa Nagasaki]]


'''Nagasaki''' ni mji wa [[Japani]] kwenye kisiwa cha [[Kyushu]] mwenye wakazi 450,000. Imejulikana kimataifa kwa sababu iliharibiwa mwaka [[1945]] na [[bomu la nyuklia]] ya Ki[[marekani]] kama mji wa pili katika historia baada ya [[Hiroshima]]. Bomu likaua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya [[mnururisho wa kinyuklia]].
'''Nagasaki''' ni [[mji]] wa [[Japani]] kwenye [[kisiwa]] cha [[Kyushu]] mwenye wakazi 450,000.


Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa mwaka [[1945]] na [[bomu la nyuklia]] la Ki[[marekani]] kama mji wa pili katika [[historia]] baada ya [[Hiroshima]]. [[Bomu]] liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya [[mnururisho wa kinyuklia]].
Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha [[Ukristo]] katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hii ilipigwa marufuku na serikali na Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa kidini katika [[karne ya 19]].

Kihistoria Nagasaki ilikuwa [[kitovu]] cha [[Ukristo]] katika Japani mnamo mwaka [[1600]]. [[Imani]] hiyo ilipigwa [[marufuku]] na serikali, hivyo Wakristo wengi [[k|waliuawa]] katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa [[uhuru wa dini]] katika [[karne ya 19]].


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==

Pitio la 11:20, 8 Februari 2015

Nagasaki mwaka 2004
Mahali pa Nagasaki

Nagasaki ni mji wa Japani kwenye kisiwa cha Kyushu mwenye wakazi 450,000.

Umejulikana kimataifa kwa sababu uliharibiwa mwaka 1945 na bomu la nyuklia la Kimarekani kama mji wa pili katika historia baada ya Hiroshima. Bomu liliua watu 36,000 mara moja na wengine waliokadiriwa kuwa kati ya 70,000 na 100,000 walikufa baadaye kufuatana athira ya mnururisho wa kinyuklia.

Kihistoria Nagasaki ilikuwa kitovu cha Ukristo katika Japani mnamo mwaka 1600. Imani hiyo ilipigwa marufuku na serikali, hivyo Wakristo wengi waliuawa katika miaka iliyofuata. Wachache walitunza imani kwa siri hadi kurudishwa kwa uhuru wa dini katika karne ya 19.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagasaki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.