Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 232 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q668 (translate me)
No edit summary
Mstari 53: Mstari 53:
}}
}}
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
[[File:India in its region (undisputed).svg|thumb|]]
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] katika [[bara]] la [[Asia]]. Ni nchi ya kidemokrasia kubwa duniani. Kufuatana na idadi ya wakazi ni nchi ya pili duniani baada ya [China]. Kufuatana na eneo ina nafasi ya saba duniani. Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]]. Mji mkuu ni [[New Delhi]].
'''Uhindi''' (pia: '''India''') ni [[nchi]] katika [[bara]] la [[Asia]]. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa [[idadi]] ya wakazi ni nchi ya pili [[dunia]]ni baada ya [[China]]]. Ni nchi ya ki[[demokrasia]] yenye watu wengi zaidi duniani.


Imepakana na [[Pakistan]], [[China]], [[Nepal]], [[Bhutan]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]].
Wakazi walio wengi (80 %) hufuata dini ya [[Uhindu]]. Takriban 13 %- 14 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya kiislamu baada ya waislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni Ukristo, Usikh, Ubuddha na Ujain.


[[Mji mkuu]] ni [[New Delhi]].
Lugha ya kitaifa ni [[Kihindi]] ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]]. [[Kiingereza]] hutumiwa kama lugha ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Katika kusini ya Uhindi watu husema lugha kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Katika kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].


Wakazi walio wengi (80 %) hufuata [[dini]] ya [[Uhindu]]. Takriban 13 %- 14 % ni [[Uislamu|Waislamu]]; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya Kiislamu baada ya Waislamu wa [[Indonesia]]. Dini nyingine ni [[Ukristo]], [[Usikh]], [[Ubuddha]] na [[Ujain]].
Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

[[Lugha ya taifa]] ni [[Kihindi]] ambacho ni [[lugha ya Kihindi-Kiulaya]]. [[Kiingereza]] hutumiwa kama [[lugha]] ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema lugha kama [[Kikannada]], [[Kitelugu]], [[Kitamil]] na [[Kimalayalam]]. Kaskazini husema hasa [[Kipunjabi]], [[Kibengali]], [[Kigujarati]] na [[Kimarathi]].

Kiutawala Uhindi ni [[shirikisho]] la [[jamhuri]] lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.


== Historia ==
== Historia ==
'':tazama pia: [[Uhindi wa Kiingereza]]''
'':tazama pia: [[Uhindi wa Kiingereza]]''



== Tazama pia ==
== Tazama pia ==

Pitio la 14:14, 6 Februari 2015

Uhindi

Uhindi (pia: India) ni nchi katika bara la Asia. Kwa eneo ina nafasi ya saba duniani, lakini kwa idadi ya wakazi ni nchi ya pili duniani baada ya China]. Ni nchi ya kidemokrasia yenye watu wengi zaidi duniani.

Imepakana na Pakistan, China, Nepal, Bhutan, Bangladesh na Myanmar.

Mji mkuu ni New Delhi.

Wakazi walio wengi (80 %) hufuata dini ya Uhindu. Takriban 13 %- 14 % ni Waislamu; hivyo Waislamu wa Uhindi ni jumuiya ya pili katika dunia ya Kiislamu baada ya Waislamu wa Indonesia. Dini nyingine ni Ukristo, Usikh, Ubuddha na Ujain.

Lugha ya taifa ni Kihindi ambacho ni lugha ya Kihindi-Kiulaya. Kiingereza hutumiwa kama lugha ya kiutawala ya kitaifa pia kwenye ngazi ya majimbo. Kuna lugha 21 kubwa na lugha nyingi zisizo na wasemaji wengi sana. Kusini mwa Uhindi watu husema lugha kama Kikannada, Kitelugu, Kitamil na Kimalayalam. Kaskazini husema hasa Kipunjabi, Kibengali, Kigujarati na Kimarathi.

Kiutawala Uhindi ni shirikisho la jamhuri lenye majimbo ya kujitawala 28 pamoja na maeneo ya shirikisho 7.

Historia

:tazama pia: Uhindi wa Kiingereza

Tazama pia

Viungo vya Nje


Nchi na maeneo ya Asia

Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani

1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China.


Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uhindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA