G7 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{| class="infobox" border="1" cellpadding="4" style="float: right; margin: 0 0 1em 1em; width: 25em; border-collapse: collapse; font-size: 90%; clear: right" |-...'
 
No edit summary
Mstari 39: Mstari 39:
==Tanbihi==
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{reflist}}

==Viungo vya nje==
{{commons category|Group of Seven}}
*[http://www.g8.utoronto.ca G7/8 Information Centre - University of Toronto]

{{mbegu-siasa}}
{{mbegu-siasa}}



Pitio la 14:27, 31 Januari 2015

Kundi la nchi 7 na Umoja wa Ulaya
Nchi za G7 na Umoja wa Ulaya katika ramani ya dunia
Nchi za G7 na Umoja wa Ulaya katika ramani ya dunia

Bendera ya Kanada Canada
Waziri Mkuu Stephen Harper
Bendera ya Ufaransa France
Rais François Hollande
Bendera ya Ujerumani Germany (2015 Chair)
Chansela Angela Merkel
Bendera ya Italia Italy
Waziri Mkuu Matteo Renzi
Bendera ya Japani Japan
Waziri Mkuu Shinzō Abe
Bendera ya Ufalme wa Muungano United Kingdom
Waziri Mkuu David Cameron
Bendera ya Marekani United States
Rais Barack Obama
Bendera ya Umoja wa Ulaya European Union
Mwenyekiti wa Halmashauri Donald Tusk
Mwenyekiti wa Kamati Jean-Claude Juncker
Mkutano wa G7 wa mwaka 2008.

Kundi la G7 linaundwa na mawaziri wa fedha na magavana wa benki kuu wa nchi 7 zilizoendelea sana: Kanada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japani, Ufalme wa Muungano na Marekani ambao wanakutana ili kujadili hasa maswala ya uchumi. Umoja wa Ulaya pia unawakilishwa katika G7.

Nchi hizo zinaongoza kwa utajiri wa kitaifa, zikiwa na 64% ya utajiri wote duniani ($263 trilioni) kadiri ya Credit Suisse Global Wealth Report October 2014.[1]

Tanbihi

  1. Credit Suisse Global Wealth Databook 2013. Credit Suisse. October 2013.  Check date values in: |date= (help)

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: