Tanganyika African National Union : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d File renamed: File:Tz 1961.svg → File:Flag of TANU.svg File renaming criterion #2: Change from completely meaningless names into suitable names, according to what the image displays.correct name |
No edit summary Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 4: | Mstari 4: | ||
TANU ilianzishwa [[7 Julai]] [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]]. |
TANU ilianzishwa [[7 Julai]] [[1954]] kutokana na [[Tanganyika African Association]] (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa [[Julius Kambarage Nyerere]]. |
||
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza |
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanganyika hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. [[Katiba]] ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa [[nchi za kijamaa]] zenye muundo wa [[siasa ya chama kimoja]]. |
||
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]] |
[[Category:Siasa ya Tanzania|TANU]] |
Pitio la 14:00, 26 Januari 2015
Tanganyika African National Union (TANU) kilikuwa chama kilichotawala Tanganyika na Tanzania hadi muungano wa chama hiki na Chama cha Afro-Shirazi cha Zanzibar ulipounda Chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 1977.
TANU ilianzishwa 7 Julai 1954 kutokana na Tanganyika African Association (TAA). TAA ilikuwa na mwelekeo wa kitamaduni zaidi ya siasa. Mwenyekiti wa kwanza wa TANU alikuwa Julius Kambarage Nyerere.
TANU ilishinda kila uchaguzi chini ya utawala wa kikoloni ikawa chama cha kuongoza Tanganyika hadi ilipopata uhuru wake mwaka 1961. Katiba ya Taifa ya mwaka 1962 ilifanya TANU kuwa chama cha pekee nchini ikifuata mfano wa nchi za kijamaa zenye muundo wa siasa ya chama kimoja.