Wadudu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 65: Mstari 65:
****** Oda [[Thysanoptera]] ([[tripsi]])
****** Oda [[Thysanoptera]] ([[tripsi]])
****** Oda [[Phthiraptera]] ([[chawa]])
****** Oda [[Phthiraptera]] ([[chawa]])
****** Oda [[Hemiptera]] ([[kidukari|vidukari]], [[nzi mweupe|nzi weupe]]
****** Oda [[Hemiptera]] ([[kidukari|vidukari]], [[nzi mweupe|nzi weupe]])
***** Oda ya juu [[Endopterygota]]
***** Oda ya juu [[Endopterygota]]
****** Oda [[Hymenoptera]] ([[nyuki]], [[nyigu]], [[sisimizi]] n.k.)
****** Oda [[Hymenoptera]] ([[nyuki]], [[nyigu]], [[sisimizi]] n.k.)

Pitio la 23:49, 17 Januari 2015

Wadudu
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
Maumbile ya mdudu: A. Kichwa, B. Toraksi (kidari), C. Fumbatio, 1. Kipapasio, 2. Mandibula (taya), 3. Laboro (mdomo wa juu), 4. Palpi ya maxila, 5. Klipei, 6. Paji, 7. Verteksi (pia ya kichwa), 8. Pronoto, 9. Skutelo, 10. Elitra (mabawa ya mbele), 11. Pingili, 12. Spirakulo, 13. Mguu wa mbele, 14. Mguu wa kati, 15. Mguu wa nyuma.
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
Nusufaila: Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Linnaeus, 1758
Ngazi za chini

Nusungeli na oda:

Wadudu wa kweli (tazama mdudu) ni kundi la arithropodi wadogo kiasi ambalo lina spishi nyingi duniani. Kibiolojia wako katika ngeli ya Insecta.

Wadudu wanashirikiana muundo wa kiwiliwili chenye pande tatu za kichwa mbele, kidari katikati na fumbatio nyuma, halafu jozi tatu za miguu na kwa kawaida jozi mbili za mabawa. Kwa nje kiwiliwili kinafunikwa kwa khitini yenye kazi ya kiunzi nje.

Hadi sasa wataalamu waliainisha zaidi ya spishi milioni moja za wadudu na makadirio ni labda kuna spishi nyingi zaidi labda hadi milioni 30.

Wadudu wanaishi takriban kila mahali duniani. Spishi nyingi zinapatikana katika sehemu za tropiki na idadi inapungua penye baridi. Lakini kuna hata spishi moja iliyopatikana Antaktika. Wadudu ni wachache sana baharini lakini hata hapa kuna spishi chache.

Uainishaji

Uainishaji wa wadudu umebadilika sana tangu utumiaji wa uchanganuzi wa ADN umeanza. Mfano wa uainisho wa hivi karibuni unafuata:


Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadudu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA