Mzunguko wa Bahari Nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Aliulinda "Periplus ya Bahari ya Eritrea" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg|thumb|350px|Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus]]
[[Image:Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg|thumb|350px|Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus]]
'''Periplus ya [[Bahari ya Eritrea]]''' ni [[kitabu]] cha [[mwongozo]] kwa ajili ya ma[[baharia]] kilichoandikwa mnamo mwaka [[70]] [[BK]].
'''Periplus ya [[Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa [[merikebu]]; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya [[Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.


"Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka [[bahari]]ni kwa [[merikebu]]; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina hilo lilitungwa na watu wa nchi za [[mashariki]] ya Bahari ya [[Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki miaka 2000 iliyopita.
Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri iliyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya [[Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.


Kitabu hicho kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri uliokuwa [[mji]] mkubwa wakati ule na [[kitovu]] cha [[biashara]] ya kimataifa kati ya [[Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.
Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.


Kitabu cha Periplus kinaeleza ma[[bandari]] kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, [[bidhaa]] zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na [[mila]] zao.
Maelezo ni mengi kuhusu pwani la [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea kusini majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].


Maelezo ni mengi kuhusu [[pwani]] ya [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea [[kusini]] majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].


[[Category:Bahari ya Hindi]]
[[Category:Bahari ya Hindi]]
[[Category:Historia ya Afrika ya Mashariki]]
[[Category:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Afrika ya Mashariki]]

Pitio la 15:26, 16 Januari 2015

Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus

Periplus ya Bahari ya Eritrea ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mnamo mwaka 70 BK.

"Periplus" ni neno la Kigiriki linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa merikebu; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya Bahari ya Shamu pamoja na Bahari Hindi. Jina hilo lilitungwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya Mediteraneo na Misri waliotumia lugha ya Kigiriki miaka 2000 iliyopita.

Kitabu hicho kimeandikwa na mwenyeji wa Aleksandria / Misri uliokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya Dola la Roma, Afrika ya Mashariki na Bara Hindi.

Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia Misri hadi Afrika ya Mashariki kwa upande moja na hadi Bara Hindi kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala na mila zao.

Maelezo ni mengi kuhusu pwani ya Eritrea na Somalia hadi Pembe la Afrika; kuelekea kusini majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa Rhapta katika nchi za Azania.