Mzunguko wa Bahari Nyekundu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q664162 (translate me)
Periplus ni Kilatini Wingi wake ni Peripli, Periplous ni Kinngereza na wingi wake ni peribli, kwa hiyo ili kutohoa jina hili na kulifanya liendane na sarufi ya Kiswahili tumeandika Peripulu.
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg|thumb|350px|Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus]]
[[Image:Map_of_the_Periplus_of_the_Erythraean_Sea.jpg|thumb|350px|Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus]]
'''Periplus ya [[Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa [[merikebu]]; Bahari ya Eritrea ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya [[Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.
'''Peripulu ya [[Bahari Nyekundu|Bahari ya Eritrea]]''' ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la [[Kigiriki]] linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa [[merikebu]]; Bahari Nyekundu ni jina la kale kwa ajili ya [[Bahari ya Shamu]] pamoja na [[Bahari Hindi]]. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya [[Mediterani|Mediteraneo]] na [[Misri]] waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.


Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri iliyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya [[Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.
Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa [[Aleksandria]] / Misri iliyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya [[Dola ya Warumi|Dola la Roma]], [[Afrika ya Mashariki]] na Bara Hindi.


Kitabu cha Periplus kinaeleza mabandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya mabandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.
Kitabu cha Peripulu kinaeleza bandari kuanzia [[Misri]] hadi [[Afrika ya Mashariki]] kwa upande moja na hadi [[Bara Hindi]] kwa upande mwingine. Kinataja majina ya bandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.


Maelezo ni mengi kuhusu pwani la [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea kusini majina ya mabandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].
Maelezo ni mengi kuhusu pwani la [[Eritrea]] na [[Somalia]] hadi [[Pembe la Afrika]]; kuelekea kusini majina ya bandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa [[Rhapta]] katika nchi za [[Azania]].





Pitio la 22:17, 13 Januari 2015

Majina, mahali na njia za biashara katika Periplus

Peripulu ya Bahari ya Eritrea ni kitabu cha mwongozo kwa ajili ya mabaharia kilichoandikwa mn. mw. 70 b.K.. "Periplus" ni neno la Kigiriki linalomaanisha tendo la kuzunguka baharini kwa merikebu; Bahari Nyekundu ni jina la kale kwa ajili ya Bahari ya Shamu pamoja na Bahari Hindi. Jina limeundwa na watu wa nchi za mashariki ya Bahari ya Mediteraneo na Misri waliotumia lugha ya Kigiriki wakati wa miaka 2000 iliyopita.

Kitabu hiki kimeandikwa na mwenyeji wa Aleksandria / Misri iliyokuwa mji mkubwa wakati ule na kitovu cha biashara ya kimataifa kati ya Dola la Roma, Afrika ya Mashariki na Bara Hindi.

Kitabu cha Peripulu kinaeleza bandari kuanzia Misri hadi Afrika ya Mashariki kwa upande moja na hadi Bara Hindi kwa upande mwingine. Kinataja majina ya bandari, bidhaa zilizopelekwa huko na bidhaa zilizopatikana kila mahali. Pia kuna habari za kando juu ya watu, watawala ni mila zao.

Maelezo ni mengi kuhusu pwani la Eritrea na Somalia hadi Pembe la Afrika; kuelekea kusini majina ya bandari ni machache; mwisho wa eneo lililojulikana ni mji wa Rhapta katika nchi za Azania.