Tofauti kati ya marekesbisho "Njia nyeupe"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
[[Picha:Hubble2005-01-barred-spiral-galaxy-NGC1300.jpg|thumb|250px|Galaksi yetu jinsi inaaminiwa kuonekana vile kama tunaiangalia kutoka juu; picha ya galaksi ya mbali yenye mikono miwili ya parafujo]]
 
'''Njia nyeupe''', pia '''majarra''' au "mkokoto wa kondoo za Sumaili" <ref>yaani njia ya kondoo wa Ismaili; kuhusu majina ya nyota na sayari zilizojulikana kwa Waswahili na hivyo kuwa na majina asilia linganisha Jan Knappert, Swahili Islamic poetry, Brill 1971, Vol 1 uk 96-97 - taz google booksearch [http://books.google.de/books?id=yzsVAAAAIAAJ&pg=PA97&lpg=PA97&dq=swahili+milky+way&source=bl&ots=TTuUw8pwyY&sig=VpAq9mWXJ-BwDL5w0DwxouIpcGw&hl=de&ei=x9FATPawC4bG4AbppeDXDg&sa=X&oi=book_result&ct=result&resnum=1&ved=0CBUQ6AEwADgK#v=onepage&q=swahili%20milky%20way&f=false]</ref> ni jina kwala kanda laya nyota nyingi inaloonekanainayoonekana wakati wa usiku angani kama wingu neupenyeupe linalonginayong`aa.
 
Hali halisi hii ni jinsi tunavyoona [[galaksi]] yetu ambamo [[jua]] letu na [[mfumo wa jua|mfumo wake]] ni sehemu yake.
 
Galaksi yetu imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Umbo lake unafanana na kisahani chense umbo la parafujo. [[Kipenyo]] cha kisahani hiki ni [[miaka ya nuru]] 100,000 ikiwa na unene wa miaka ya nuru 3,000. Galaksi ya jirani iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5 .
 
== Kuonekana kwa Njia Nyeupe kutoka duniani ==
[[Nyota]] karibu zote zote tunazoona kwa macho yetu wakati wa usiku ni sehemu za Njia Nyeupe. Wakati wa giza tunaweza kuona kati ya nyota 3,000 hadi 5,000 kwa macho yetu bila msaada wa [[darubini]]. Isipokuwa [[sayari]] za jua letu na [[kometi]] ''(zinazoonekana mara chache tu)'' na [[galaksi ya Andromeda]] ''(inayoonekana kama nyota 1)'' nyota zote ni majua kama jua letu. Si rahisi kuona nyota nyingi tukiwa mjini penye nuru nyingi wakati wa usiku kwa sababu mwanga wa taa za mjini unaakisiwa katika [[angahewa]] na kuleta matata ya kuona mwanga kutoka nje ya angahewa.
 
Nyota zilizo nyingi za Njia Nyeupe hatuwezi kuziona wala kubainisha kwa hiyo zinatokea machoni kama ukungu mweupe tu.
18

edits

Urambazaji