Kitonga (Tonga) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kitonga''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Tonga inayozungumzwa na Watonga ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Mwaka wa 1998...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kitonga''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Tonga]] inayozungumzwa na [[Watonga]] ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Tonga imehesabiwa kuwa watu 96,300; tena kuna wasemaji zaidi ya 70,000 nje ya Tonga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kioseaniki.
'''Kitonga''' ni [[Lugha za Kiaustronesia|lugha ya Kiaustronesia]] nchini [[Tonga]] inayozungumzwa na [[Watonga]] ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Isichangaywe na lugha nyingine ziitwazo [[Kitonga]] nchini [[Malawi]], [[Zambia]], [[Msumbiji]] na [[Uthai]]. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Tonga imehesabiwa kuwa watu 96,300; tena kuna wasemaji zaidi ya 70,000 nje ya Tonga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kioseaniki.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 06:22, 19 Desemba 2014

Kitonga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Tonga inayozungumzwa na Watonga ambapo ni lugha rasmi ya taifa. Isichangaywe na lugha nyingine ziitwazo Kitonga nchini Malawi, Zambia, Msumbiji na Uthai. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kitonga nchini Tonga imehesabiwa kuwa watu 96,300; tena kuna wasemaji zaidi ya 70,000 nje ya Tonga. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitonga iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitonga (Tonga) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.