Majadiliano:Kulungu pembe-nne : Tofauti kati ya masahihisho

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Jibu
Ongeza jibu.
Mstari 3: Mstari 3:
Jambo Rberetta. Umepata jina hili wapi? Ni jina la ajabu, kwa sababu mnyama huyu hafanani na palahala wa kawaida. '''[[Mtumiaji:ChriKo|ChriKo]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:ChriKo|majadiliano]])''' 21:19, 5 Desemba 2014 (UTC)

:ChriKo salaam. Nilipata jina hili kwa kutafsiri jina la Kiingereza "Four-horned Antelope". Mnyama huyu siye mnyama wa Afrika, kwa hiyo nafikiri hakuna jina la Kiswahili litakalotambuliwa. Nilifikiri "palahala" ilikuwa tafsiri nzuri ya familia pana ya "antelope", lakini palahala si ya nusufamilia Bovinae. Jina la Kiingereza pia ni jina la ajabu kwa sababu sawa - "Four-horned antelope" ni "antelope" pekee katika Bovinae.

:Ukipendekeza jina tofauti, tafadhali niambie. Mimi sijui jina lolote katika nusufamilia Bovinae ambalo ni jina pana linalojumlisha spishi kadhaa kama "antelope". Paa au Swala ni majina mapana, lakini siyo ya Bovinae pia.
:Ukipendekeza jina tofauti, tafadhali niambie. Mimi sijui jina lolote katika nusufamilia Bovinae ambalo ni jina pana linalojumlisha spishi kadhaa kama "antelope". Paa au Swala ni majina mapana, lakini siyo ya Bovinae pia. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 22:48, 6 Desemba 2014 (UTC)

:Nilitafuta tena kwa google, na niliona makala haya: http://sw.swewe.net/word_show.htm/?123594_1&Pembe_swala. Makala hayo yanasema "swala pembe", "pembe swala", "swala pembe-nne", na majina mengine. Lakini siyo makala mazuri - nafikiri yalitafsiriwa kwa kompyuta. '''[[Mtumiaji:Rberetta|Rberetta]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Rberetta|majadiliano]])''' 22:48, 6 Desemba 2014 (UTC)

Pitio la 22:48, 6 Desemba 2014

Palahala pembe-nne

Jambo Rberetta. Umepata jina hili wapi? Ni jina la ajabu, kwa sababu mnyama huyu hafanani na palahala wa kawaida. ChriKo (majadiliano) 21:19, 5 Desemba 2014 (UTC)[jibu]

ChriKo salaam. Nilipata jina hili kwa kutafsiri jina la Kiingereza "Four-horned Antelope". Mnyama huyu siye mnyama wa Afrika, kwa hiyo nafikiri hakuna jina la Kiswahili litakalotambuliwa. Nilifikiri "palahala" ilikuwa tafsiri nzuri ya familia pana ya "antelope", lakini palahala si ya nusufamilia Bovinae. Jina la Kiingereza pia ni jina la ajabu kwa sababu sawa - "Four-horned antelope" ni "antelope" pekee katika Bovinae.
Ukipendekeza jina tofauti, tafadhali niambie. Mimi sijui jina lolote katika nusufamilia Bovinae ambalo ni jina pana linalojumlisha spishi kadhaa kama "antelope". Paa au Swala ni majina mapana, lakini siyo ya Bovinae pia. Rberetta (majadiliano) 22:48, 6 Desemba 2014 (UTC)[jibu]
Nilitafuta tena kwa google, na niliona makala haya: http://sw.swewe.net/word_show.htm/?123594_1&Pembe_swala. Makala hayo yanasema "swala pembe", "pembe swala", "swala pembe-nne", na majina mengine. Lakini siyo makala mazuri - nafikiri yalitafsiriwa kwa kompyuta. Rberetta (majadiliano) 22:48, 6 Desemba 2014 (UTC)[jibu]