Ugonjwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Italienischer Maler des 17. Jahrhunderts 001.jpg|300px|thumbnail|Unene wa kipindukia iitazamiwa kama dalili ya cheo kaika jamii nyingi -leo hii hutazami...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Italienischer Maler des 17. Jahrhunderts 001.jpg|300px|thumbnail|Unene wa kipindukia iitazamiwa kama dalili ya cheo kaika jamii nyingi -leo hii hutazamiwa kama ugonjwa]]
[[Picha:Italienischer Maler des 17. Jahrhunderts 001.jpg|300px|thumbnail|Unene wa kipindukia ulitazamiwa kama dalili ya cheo katika jamii nyingi -leo hii hutazamiwa kama ugonjwa]]
'''Ugonjwa''' ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya starehe ya kiumbehai. Hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.
'''Ugonjwa''' ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya starehe ya kiumbehai. Hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.



Pitio la 17:19, 4 Desemba 2014

Unene wa kipindukia ulitazamiwa kama dalili ya cheo katika jamii nyingi -leo hii hutazamiwa kama ugonjwa

Ugonjwa ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya starehe ya kiumbehai. Hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.

Sayansi inachochungulia magonjwa ni tiba

Siku hizi magonjwa hupangwa kufuatana na sababu zao kama vile

  • magonjwa ya kuambukizwa
  • magonjwa ya kurithiwa
  • magonjwa kutokana na ajali
  • magonjwa kutokana na dutu za nje ya mwili (sumu, asidi ) au moto
  • magonjwa ya kansa
  • magonjwa yaliyosababishwa na tiba
  • magonjwa yaliyosababishwa na mfumo wa kinga mwilini
  • magonjwa ya roho