Buibui-kofia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 16: Mstari 16:
* ''[[Ricinoides]]''
* ''[[Ricinoides]]''
}}
}}
'''Buibui-kofia''' ni [[arithropodi]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Ricinoididae]], familia ya pekee ya [[oda]] [[Ricinulei]] katika [[ngeli]] [[Arakinida|Arachnida]]. Jina lao linatoka kwa aina ya “kofia” ambayo wanaweza kutumia ili kufunika [[kichwa]], [[mdomo]] na [[kelisera]] ([[w:chelicerae|chelicerae]]). Kwa kawaida buibui-kofia wana urefu wa mm 5-10 na wanafanana na [[utitiri]]. Wataalamu wengine wanafikiri kwamba [[mdudu|wadudu]] hawa wana mnasaba na utitiri, lakini wengine wanafikiri kwamba wana mnasaba na oda ya zamani ya [[Trigonotarbida]] iliyokwisha sasa. [[Kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]) na [[fumbatio]] zimeungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija kama kwa [[Buibui (Arithropodi)|buibui]]. Lakini ukingo wa fumbatio unaingia katika kunjo la [[gamba]] ([[w:carapace|carapace]]). Wana [[mguu|miguu]] minane kama arakinida wengine lakini jozi ya pili ni mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasi|vipapasi]]. Hawana [[jicho|macho]] lakini spishi za zamani zilikuwa nayo na spishi za kisasa bado zina sehemu za kuhisi nuru. Mwenendo wa buibui-kofia haujulikani sana lakini inaonekana kwamba hula arithropodi wadogo kuliko hawa wenyewe.
'''Buibui-kofia''' ni [[arithropodi]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Ricinoididae]], familia ya pekee ya [[oda]] [[Ricinulei]] katika [[ngeli]] [[Arakinida|Arachnida]]. Jina lao linatoka kwa aina ya “kofia” ambayo wanaweza kutumia ili kufunika [[kichwa]], [[mdomo]] na [[kelisera]] ([[w:chelicerae|chelicerae]]). Kwa kawaida buibui-kofia wana urefu wa mm 5-10 na wanafanana na [[utitiri]]. Wataalamu wengine wanafikiri kwamba [[mdudu|wadudu]] hawa wana mnasaba na utitiri, lakini wengine wanafikiri kwamba wana mnasaba na oda ya zamani ya [[Trigonotarbida]] iliyokwisha sasa. [[Kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]) na [[fumbatio]] zimeungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija kama kwa [[Buibui (Arithropodi)|buibui]]. Lakini ukingo wa fumbatio unaingia katika kunjo la [[gamba]] ([[w:carapace|carapace]]). Wana [[mguu|miguu]] minane kama arakinida wengine lakini jozi ya pili ni mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasio|vipapasio]]. Hawana [[jicho|macho]] lakini spishi za zamani zilikuwa nayo na spishi za kisasa bado zina sehemu za kuhisi nuru. Mwenendo wa buibui-kofia haujulikani sana lakini inaonekana kwamba hula arithropodi wadogo kuliko hawa wenyewe.


{{Pendekezo-jina-mnyama}}
{{Pendekezo-jina-mnyama}}

Pitio la 21:53, 1 Novemba 2014

Buibui-kofia
Aina ya buibui-kofia (Cryptocellus goodnighti)
Aina ya buibui-kofia (Cryptocellus goodnighti)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Chelicerata
Ngeli: Arachnida
Oda: Ricinulei
Familia: Ricinoididae
Ngazi za chini

Jenasi 3:

Buibui-kofia ni arithropodi wa familia Ricinoididae, familia ya pekee ya oda Ricinulei katika ngeli Arachnida. Jina lao linatoka kwa aina ya “kofia” ambayo wanaweza kutumia ili kufunika kichwa, mdomo na kelisera (chelicerae). Kwa kawaida buibui-kofia wana urefu wa mm 5-10 na wanafanana na utitiri. Wataalamu wengine wanafikiri kwamba wadudu hawa wana mnasaba na utitiri, lakini wengine wanafikiri kwamba wana mnasaba na oda ya zamani ya Trigonotarbida iliyokwisha sasa. Kefalotoraksi (cephalothorax) na fumbatio zimeungwa kwa pediseli (pedicel) nyembamba kwa umbo wa mrija kama kwa buibui. Lakini ukingo wa fumbatio unaingia katika kunjo la gamba (carapace). Wana miguu minane kama arakinida wengine lakini jozi ya pili ni mirefu kuliko mingine na hutumika kama vipapasio. Hawana macho lakini spishi za zamani zilikuwa nayo na spishi za kisasa bado zina sehemu za kuhisi nuru. Mwenendo wa buibui-kofia haujulikani sana lakini inaonekana kwamba hula arithropodi wadogo kuliko hawa wenyewe.

Makala hiyo kuhusu "Buibui-kofia" inatumia jina ambalo halijakuwepo kwa lugha ya Kiswahili. Jina hili linapendekezwa kwa jina la mnyama huyu au wanyama hawa amba(ye)(o) ha(wa)na jina kwa sasa.

Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili hazina jina kwa mnyama huyu au wanyama hawa.