Kimalagasy : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kimalagasy''' ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana,...'
 
d rekebisha kiungo
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kimalagasy''' ni mlolongo wa [[lugha za Kiaustronesia]] nchini [[Madagaska]] inayozungumzwa na [[Wamalagasy]]. Lugha za Kimalagasy hasa ni [[Kiantankarana]], [[Kibara]], [[Kibetsimisaraka-Kaskazini]], [[Kibetsimisaraka-Kusini]], [[Kimasikoro]], [[Kisakalava]], [[Kimalagasy Sanifu]], [[Kitandroy-Mahafaly]], [[Kitanosy]], [[Kitesaka]] na [[Kitsimihety]]. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.
'''Kimalagasy''' ni mlolongo wa [[lugha za Kiaustronesia]] nchini [[Madagaska]] inayozungumzwa na [[Wamalagasy]]. Lugha za Kimalagasy hasa ni [[Kiantankarana]], [[Kimalagasy ya Bara|Kibara]], [[Kibetsimisaraka-Kaskazini]], [[Kibetsimisaraka-Kusini]], [[Kimasikoro]], [[Kisakalava]], [[Kimalagasy Sanifu]], [[Kitandroy-Mahafaly]], [[Kitanosy]], [[Kitesaka]] na [[Kitsimihety]]. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 12:42, 28 Oktoba 2014

Kimalagasy ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy. Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana, Kibara, Kibetsimisaraka-Kaskazini, Kibetsimisaraka-Kusini, Kimasikoro, Kisakalava, Kimalagasy Sanifu, Kitandroy-Mahafaly, Kitanosy, Kitesaka na Kitsimihety. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.