Tofauti kati ya marekesbisho "Morisi"

Jump to navigation Jump to search
99 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
d (Bot: Migrating 157 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1027 (translate me))
[[Uingereza]] ulichukua utawala wa visiwa mwaka 1810 katika vita dhidi ya [[Napoleon Bonaparte|Napoleon]]. Tangu siku zile Kiingereza kilikuwa lugha rasmi ya serikali lakini wakazi waliendelea kutumia lahaja ya [[Kifaransa]]. Baada ya kuwapatia watumwa uhuru Waingereza walileta Wahindi wengi baadaye pia Wachina kama wafanyakazi kwenye mashamba ya sukari. Leo hii idadi kubwa ya wakazi ni wa asili ya Kihindi.
 
Lakini 80% ya wananchi hutumia aina ya [[Kifaransa]] kama lugha ya kwanza (pamoja na [[krioli]] ya [[Kimorisyen]]. Asilimia 15 hutumia lugha za Kihindi kama vile [[Kiurdu]], [[Kitamil]] au [[Kibhojpuri]], wengine Kichina na [[Kiingereza]].
 
Karibu nusu ya wakazi hufuata dini ya Uhindu, 35% Ukristo (hasa Wakatoliki), 12% ni Waislamu Wasunni, 3% Washia, 1% Wabuddha.
 
== Uchumi ==

Urambazaji