Michezo ya Olimpiki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Robot: ca:Jocs Olímpics is a featured article; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:




'''Michezo ya Olimpiki''' ni mashindano ya michezo makubwa duniani inayofanyika kila baada ya miaka minne.
'''Michezo ya Olimpiki''' ni mashindano makubwa ya michezo mbalimbali duniani inayofanyika kila baada ya miaka minne.


Michezo ya Olimpiki imekuwa na historia ndefu katika vipindi viwili:
Michezo ya Olimpiki imekuwa na [[historia]] ndefu katika vipindi viwili:


* [[Michezo ya Olimpiki ya Kale]] ilifanyika tangu tarehe isiyojulikana lakini kwa uhakika kuanzia mwaka [[776 KK]] hadi mwaka [[393 BK]] katika mtaa wa mahekalu wa [[Olimpia]] kwenye rasi ya [[Peloponesi]] nchini [[Ugiriki]].
* [[Michezo ya Olimpiki ya Kale]] ilifanyika tangu tarehe isiyojulikana lakini kwa uhakika kuanzia mwaka [[776 KK]] hadi mwaka [[393 BK]] katika [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] wa [[Olimpia]] kwenye [[rasi]] ya [[Peloponesi]] nchini [[Ugiriki]].


* '''Michezo ya Olimpiki ya Kisasa''' ya kwanza ilitokea mwaka [[1896]] mjini [[Athens]] (Ugiriki). Mwanzishilishaji alikuwa Mfaransa [[Pierre de Coubertin]] alitaka kutumia kielelezo cha michezo ya kale kwa kujenga uhusiano mzuri kati ya vijana wa nchi mbalimbali na kuwapatia nafasi ya kushindana kwenye uwanja wa michezo badala ya uwanja wa vita. Coubertin alianzisha [[Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki]] (International Olympic Committee - IOC).
* '''[[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa]]''' ya kwanza ilitokea mwaka [[1896]] mjini [[Athens]] (Ugiriki). [[Mwanzilishi]] alikuwa [[Mfaransa]] [[Pierre de Coubertin]] aliyetaka kutumia kielelezo cha michezo ya kale kwa kujenga [[uhusiano]] mzuri kati ya [[vijana]] wa nchi mbalimbali na kuwapatia nafasi ya kushindana kwenye [[uwanja wa michezo]] badala ya uwanja wa [[vita]]. Coubertin alianzisha [[Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki]] (International Olympic Committee - IOC).


Michezo hii ya kisasa imeendelea kila baada ya miaka minne isipokuwa [[1916]], [[1940]] na [[1944]] kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ya Pili ya Dunia]].
Michezo hii ya kisasa imeendelea kila baada ya miaka minne isipokuwa [[1916]], [[1940]] na [[1944]] kwa sababu ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia|Vita Kuu ya Kwanza]] na [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia|ya Pili ya Dunia]].


Michezo ya kisasa hufanyika katika mji mwingine kila safari. Michezo ya [[2004]] ilifanyika [[Athens]], ya [[2008]] huko [[Beijing]] na ya [[2012]] itafanyika [[London]].
Michezo ya kisasa hufanyika katika mji tofauti kila safari. Michezo ya [[2004]] ilifanyika [[Athens]], ya [[2008]] huko [[Beijing]] na ya [[2012]] [[London]].


Kuna tofauti kati ya michezo ya kiangazi na michezo ya majira ya baridi.
Kuna tofauti kati ya michezo ya [[kiangazi]] na michezo ya [[majira ya baridi]].


Washindi watatu wa kwanza wa kila mashindano hupewa medali ya dhahabu, fedha au shabha.
Washindi watatu wa kwanza wa kila mashindano hupewa [[medali]] ya [[dhahabu]], [[fedha]] au [[shaba]].


== Pete olimpiki ==
== Pete olimpiki ==
Pete tano uza olimpiki ni alama na nembo ya michezo tangu [[1913]]. Pete tano zenye rangii tofauti humaanisha mabara matano.
[[Pete]] tano za Olimpiki ni [[alama]] na [[nembo]] ya michezo tangu mwaka [[1913]]. Pete tano zenye rangi tofauti humaanisha ma[[bara]] matano. Zote zinashikamana kumaanisha ushirikiano wa kimataifa.


== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.olympic.org/ Tovuti rasmi ya Michezo ya Olimpiki]
* [http://www.olympic.org/ Tovuti rasmi ya Michezo ya Olimpiki]
{{mbegu-michezo}}

{{michezo}}
[[Jamii:Olimpiki| ]]
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Michezo]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki|!]]
[[Jamii:Michezo ya Olimpiki|!]]

Pitio la 06:45, 25 Oktoba 2014

Bendera ya Olimpiki yaonyesha pete tano


Michezo ya Olimpiki ni mashindano makubwa ya michezo mbalimbali duniani inayofanyika kila baada ya miaka minne.

Michezo ya Olimpiki imekuwa na historia ndefu katika vipindi viwili:

Michezo hii ya kisasa imeendelea kila baada ya miaka minne isipokuwa 1916, 1940 na 1944 kwa sababu ya Vita Kuu ya Kwanza na ya Pili ya Dunia.

Michezo ya kisasa hufanyika katika mji tofauti kila safari. Michezo ya 2004 ilifanyika Athens, ya 2008 huko Beijing na ya 2012 London.

Kuna tofauti kati ya michezo ya kiangazi na michezo ya majira ya baridi.

Washindi watatu wa kwanza wa kila mashindano hupewa medali ya dhahabu, fedha au shaba.

Pete olimpiki

Pete tano za Olimpiki ni alama na nembo ya michezo tangu mwaka 1913. Pete tano zenye rangi tofauti humaanisha mabara matano. Zote zinashikamana kumaanisha ushirikiano wa kimataifa.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Michezo ya Olimpiki kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA