2
edits
d (Nimefuta neno la "semhemu" nikatia "juzu" badala yake.) |
dNo edit summary |
||
'''Bwana wa Mapete''' ni kitabu cha [[bunilizi ya kinjozi]] kilichoandikwa na [[J.R.R. Tolkien]]. Kwa asili, Tolkien aliiandika kama mfuatano wa kitabu chake cha ''[[Mhobiti (kitabu)|Mhobiti]]'' kilichokuwa kimetolewa mwaka wa [[1937]]. Ila ''Bwana wa Mapete'' ikaendelea kuwa [[riwaya]] kubwa katika
Kichwa cha kitabu hicho chamrejea mpinzani wa hadithi aitwaye [[Sauron]]; yeye alikuwa ameumba [[Pete Kuu]] ili kutawala [[Dunia ya Kati]] nzima. Hadithi ya kitabu yasimulia jinsi mashujaa wanavyompigania Sauron vita. Baadhi ya mashujaa hasa ni [[mhobiti|wahobiti]] wanne: [[Frodo Baggins]], [[Samwise Gamgee]] (''Sam''), [[Meriadoc Brandybuck]] (''Merry'') na [[Peregrin Took]] (''Pippin'').
|
edits