Hifadhi ya Serengeti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Tengua pitio 922415 lililoandikwa na 85.18.64.74 (Majadiliano)
No edit summary
Mstari 25: Mstari 25:


[[Image:Hifadhi za Taifa - Tanzania Kaskazini.PNG|thumb|300px|Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti]]
[[Image:Hifadhi za Taifa - Tanzania Kaskazini.PNG|thumb|300px|Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti]]
[[File:Zebra in the Serengeti Wildebeest Migration.jpg|thumb|right|250px|[[Pundamilia]] na nyumbu wakati wa uhamaji]]
[[File:Zebra in the Serengeti Wildebeest Migration.jpg|thumb|right|250px|[[Pundamilia]] na [[nyumbu]] wakati wa kuhama]]
[[File:Serengeti sunset, Tanzania.JPG|thumb|right|250px|Machweo ya Serengeti]]
[[File:Serengeti sunset, Tanzania.JPG|thumb|right|250px|[[Machweo]] ya Serengeti]]


'''Hifadhi ya Serengeti''' ni eneo kubwa la savana na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ikipakana na [[Kenya]]. Eneo lake ni 14,763 [[km²]] na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].
'''Hifadhi ya Serengeti''' ni eneo kubwa la [[mbuga]] na [[misitu]] katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya [[Mkoa wa Mara|Mara]] na [[Mkoa wa Arusha|Arusha]] ikipakana na nchi ya [[Kenya]].


Eneo lake ni 14,763 [[km²]] na ki[[jiografia]] inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa [[Hifadhi ya Masai Mara]].
Kuna idadi kuba ya wanyama wa pori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya [[nyumbu]] wanaovuka mto Mara. Kuna pia aini nyingi nyingine za wanyama kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani [[tembo]], [[simba]], [[chui]], [[fisi]], [[kifaru]] na [[nyati]].


Kuna idadi kubwa ya [[wanyamapori]]. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa [[uhamisho]] wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya [[nyumbu]] wanaovuka [[mto Mara]]. Kuna pia aina nyingi nyingine za [[wanyama]], kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani [[tembo]], [[simba]], [[chui]], [[fisi]], [[kifaru]] na [[nyati]].
Eneo la hifadhi ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. [[Olduvai Gorge|Bonde la Olduvai]] ambako mabaki ya wanadamu wa kale kabisa yalipatikana liko ndani ya Serengeti.


Eneo la [[hifadhi]] ya [[Ngorongoro]] liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. [[Olduvai Gorge|Bonde la Olduvai]] ambako mabaki ya [[zamadamu]] yalipatikana liko ndani ya Serengeti.
Mazingira ya '''Serengeti''' ni kanda ya kijiografia iko katika kaskazini-magharibi ya [[Tanzania]] na inaenea kwa kusini-magharibi mwa [[Kenya]] kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Ina enea kiwango cha mraba kilometa 30,000 <sup>2.</sup>


[[Mazingira]] ya Serengeti ni kanda ya kijiografia katika kaskazini-magharibi mwa [[Tanzania]] na inaenea kusini-magharibi mwa [[Kenya]] kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Inaenea kiwango cha mraba kilometa 30,000 <sup>2.</sup>
Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye ardhi kubwa na ndefu zaidi duniani,<ref name="partridge">{{cite news | first=Frank | last=Partridge | coauthors= | title=The fast show | date=2006-05-20 | publisher= | url =http://www.findarticles.com/p/articles/mi_qn4158/is_20060520/ai_n16416123 | work =The Independent (London) | pages = | accessdate = 2007-03-14 | language = }}</ref> ambao hua ni tukio wa nusu mwaka .
Uhamiaji huu ni moja ya [[maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri]].


Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye [[ardhi]] kubwa na ndefu zaidi duniani,<ref name="partridge">{{cite news | first=Frank | last=Partridge | coauthors= | title=The fast show | date=2006-05-20 | publisher= | url =http://www.findarticles.com/p/articles/mi_qn4158/is_20060520/ai_n16416123 | work =The Independent (London) | pages = | accessdate = 2007-03-14 | language = }}</ref> ambao hua ni tukio wa nusu mwaka .
Kanda hii ina [[hifadhi za taifa]] na [[hifadhi mchezo kadhaa]]. Serengeti imechukuliwa kutoka lugha ya [[Kimasai, Maa;]] hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". <ref>Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.</ref> <ref>[http://darkwing.uoregon.edu/~dlpayne/Maa%20Lexicon/index-english/main.htm Maa (Maasai) Dictionary]</ref>
Uhamiaji huo ni moja ya [[maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri]].


Kanda hii ina [[hifadhi za taifa]] na [[hifadhi mchezo kadhaa]]. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya [[Kimasai]] hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". <ref>Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.</ref> <ref>[http://darkwing.uoregon.edu/~dlpayne/Maa%20Lexicon/index-english/main.htm Maa (Maasai) Dictionary]</ref>
Inakadiriwa [[mamalia]] 70 kubwa na baadhi ya [[spishi]] 500 avifauna (yaani [[Ndege (mnyama)|ndege]]) hupatikana huko. Tofauti huu wa juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, mabwawa, [[kopjes,]] mbuga na misitu. <ref name="autogenerated1"> [http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us 403 Forbidden]</ref> [[Nyumbu bluu]], [[swara]], [[punda milia]] na [[nyati]] ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hili.


Inakadiriwa [[mamalia]] 70 kubwa na baadhi ya [[spishi]] 500 [[avifauna]] (yaani [[Ndege (mnyama)|ndege]]) hupatikana huko. Tofauti hii ya juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, ma[[bwawa]], [[kopjes]] mbuga na misitu. <ref name="autogenerated1"> [http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us 403 Forbidden]</ref> [[Nyumbu bluu]], [[swara]], [[punda milia]] na [[nyati]] ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hii.
Karibu Oktoba, karibu herbivores (yaani wanyama wanaokula majani badala ya nyama) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka [[mto wa Mara]] katika harakati za mvua. Katika mwezi wa Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili kwa mara huitwa "Circular migration" yaani uhamiaji mviringo. Nyumbu zaidi ya 250,000 peke watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika [[Masai Mara|mbuga ya wanyama ya Masai Mara]] huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya maili 500. Kifo mara nyingi unasababishwa na maudhi au uchovu. <ref name="partridge"></ref> Uhamiaji huu umeonyeshwa katika filamu na programu nyingi za televisheni kote duniani.

Karibu Oktoba, karibu [[wanyama wanaokula majani]] (si [[nyama]]) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka [[mto wa Mara]] katika harakati za [[mvua]]. Katika mwezi Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili la mara kwa mara huitwa kwa [[Kiingereza]] "Circular migration" yaani [[uhamiaji mviringo]]. Nyumbu zaidi ya 250,000 pekee watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika [[Masai Mara|mbuga ya wanyama ya Masai Mara]] huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya [[maili]] 500. [[Kifo]] mara nyingi unasababishwa na maudhi au [[uchovu]]. <ref name="partridge"></ref> Uhamiaji huu umeonyeshwa katika [[filamu]] na [[programu]] nyingi za [[televisheni]] kote duniani.


==Historia==
==Historia==
[[File:Serengeti NCR Maasai.jpg|thumb|right|250px|Mvulana wa kimaasai (Moran au warrior) anatembea ndani ya Serengeti na miinuko ya Ngorongoro kama bakgrund.]]
[[File:Serengeti NCR Maasai.jpg|thumb|right|250px|Mvulana wa kimaasai (Moran au askari) anatembea ndani ya Serengeti na miinuko ya Ngorongoro iko nyuma.]]
Sehemu kubwa wa Serengeti hapo awali ilijulikana kama Maasailand kwa wageni.
Upande mkubwa wa Serengeti hapo awali ulijulikana kama Maasailand kwa wageni. [[Wamasai]] walijulikana kama shujaa wakali , na waliishi pamoja na wanyama wa pori huku wakiishi kwa kuwala mifugo yao pekee. Nguvu zao na sifa zilisababisha wasafiri kutoka Ulaya kutotumia wanyama na rasilimali ya nchi yao vibaya. [[Janga la "rinderpest"]] na ukame wakati wa 1890 ulisababisha upungufu wa idadi ya Wamaasai na wanyama. Uwindaji haramu ya wanyama wa pori na ukosefu wa moto, ambayo yalikuwa matokeo ya shughuli za binadamu, yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo. [[Uongezekaji wa chafuo]] sasa ulisababisha kutokuwa kwa makaazi ya binadamu katika eneo hili. Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. <ref name="autogenerated2">Serengeti II: Dynamics, Management, and Conservation of an Ecosystem. Anthony Ronald Entrican Sinclair, Peter Arcese. 1995. University of Chicago Press. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Kurasa 73-76.] ISBN 0226760316.</ref> Mnapo miaka ya 1960, idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudia na Wamaasai ili kuongeza eneo ya malisho ya mifugo, au kwa ajali, ulisababisha kuchomeka kwa miche mpya ya miti. Mvua nzito ulichangia ukuaji wa majani, ambao ulikuwa kama mafuta kwa moto wakati wa misimu kavu zifuatazo. Miti mzee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, yalianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti changa na mzee, amekuwa walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio ilionyesha kuwa kulikuwa na sababu nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka 1970 hadi 467 katika mwaka wa 1986 kwa uwindaji haramu. <ref> ''Serengeti II.'' Sinclair, Arcese. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Ukurasa 76.] ISBN 0226760316.</ref> Mnapo miaka ya 1970 idadi ya nyumbu na nyati ya Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa kasi, basi kusababisha upuingufu wa mafuta ya kusambazaa moto. <ref> http://www.sciencemag.org/cgi/content/full/278/5346/2059</ref> kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. <ref name="autogenerated2"></ref>

[[Wamasai]] walijulikana kama [[shujaa]] wakali, na waliishi pamoja na wanyamapori huku wakila [[mifugo]] yao pekee.

[[Nguvu]] zao na [[sifa]] zilisababisha wasafiri kutoka [[Ulaya]] kutotumia wanyama na [[rasilimali]] ya nchi yao vibaya.

[[Janga la "rinderpest"]] na [[ukame]] wakati wa [[1890]] ulisababisha kupungua kwa idadi ya Wamasai na wanyama. [[Uwindaji haramu]] wa wanyamapori na ukosefu wa [[moto]], ambayo yalikuwa matokeo ya [[shughuli]] za [[binadamu]], yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo.

[[Uongezekaji wa chafuo]] sasa ulisababisha kutokuwa kwa makazi ya binadamu katika eneo hili.

Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. <ref name="autogenerated2">Serengeti II: Dynamics, Management, and Conservation of an Ecosystem. Anthony Ronald Entrican Sinclair, Peter Arcese. 1995. University of Chicago Press. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Kurasa 73-76.] ISBN 0226760316.</ref>

Mnamo [[miaka ya 1960]], idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudi na Wamaasai ili kuongeza eneo ya [[malisho]] ya mifugo, au kwa [[ajali]], ulisababisha kuchomeka kwa miche mipya ya miti.

Mvua nzito ilichangia [[ukuaji]] wa majani, ambao ulikuwa kama [[mafuta]] kwa moto wakati wa misimu mikavu ifuatayo. Miti mizee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, ilianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti michanga na mizee, walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio yalionyesha kulikuwa na [[sababu]] nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka [[1970]] hadi 467 katika mwaka [[1986]] kutokana na uwindaji haramu. <ref> ''Serengeti II.'' Sinclair, Arcese. [http://books.google.com/books?id=qSb-dHu7rGQC&pg=PA73&lpg=PA73&dq=acacia+trees+serengeti+fire&source=web&ots=iV6h7FIz19&sig=6IwU_AOUf0FX3va-4MOewUx8IvQ Ukurasa 76.] ISBN 0226760316.</ref>

Mnamo [[miaka ya 1970]] idadi ya nyumbu na nyati wa Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa [[kasi]], na kusababisha upungufu wa mafuta ya kusambazaa moto. <ref> http://www.sciencemag.org/cgi/content/full/278/5346/2059</ref> kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. <ref name="autogenerated2"></ref>

==Hifadhi ya mazingira==
Bara la Maasai lina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Nigel Pavitt. 2001. Ukurasa 122. Harry S. Abrams, Incorporated, New York. ISBN 0-8109-0602-3.</ref> [[Serikali]] za Tanzania na Kenya hutunza idadi kadhaa ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, n.k., ambayo hutoa [[ulinzi wa kisheria]] kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. <ref>http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us</ref>

[[Ol Doinyo Lengai]], ikiwapo [[volkeno hai]] katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapofichuliwa kutoka kwa [[hewa]], hubadilisha [[rangi]] kutoka [[samawati]] hadi [[nyeusi]] na kufanana na "washing soda". [[Tabaka]] zito la [[jivu]] linaweza kugeuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama [[saruji]] baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya [[safu]] hii, na kimsingi [[tambarare]] bila miti ya Serengeti, ambayo iko magharibi na [[upepo]] chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Pavitt, kurasa 130, 134.</ref>
[[File:Serengeti koppie.jpg|thumb|left|350px|Miinuko ya [[mwamba]], au "koppes", katika tambarare ya Serengeti.]]


Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika [[kivuli]] mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenye majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogondogo. [[Udongo]] una [[rutuba]] kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya [[urefu]] wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika [[jamii]] na herbaceous na nyasi refu.
==Ecology==
Bara la Maasai ina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Nigel Pavitt. 2001. Ukurasa 122. Harry S. Abrams, Incorporated, New York. ISBN 0-8109-0602-3.</ref> Serikali ya Tanzania na Kenya hutunza idadi kadha ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, nk, ambayo hutoa ulinzi wa kisheria kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. <ref>http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us</ref>


Baadhi ya 70 km magharibi, [[misitu ya Acacia]] huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea [[ziwa Victoria]] na kaskazini kuelekea katika tambarare za [[Loita]], kaskazini mwa [[mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara]]. Aina 16 tofauti ya Acacia zipo katika [[msitu]] huu, [[usambazaji]] wake ukiamuliwa na hali [["edaphic"]] na urefu wa udongo.
[[Ol Doinyo Lengai]], ikiwapo mlima wa moto ulio bado na uhai katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapo fichuliwa kutoka kwa hewa, hubadilisha rangi kutoka samawati hadi nyeusi na kufwanana na "washing soda". Tabaka nzito ya jivu unaweza geuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama saruji baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya safu hii, na kimsingi tambarare bila miti ya Serengeti, ambayo yako magharibi na upepo chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo. <ref> ''Africa's Great Rift Valley.'' Pavitt, kurasa 130, 134.</ref>
[[File:Serengeti koppie.jpg|thumb|left|350px|Miinuko ya mwamba, au "koppes", katika tambarare ya Serengeti.]]


Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika kivuli mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenya majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogo ndogo. Udongo yana rutuba kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya urefu wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika jamii na herbaceous na nyasi refu. Baadhi ya 70 km magharibi, [[misitu ya Acacia]] huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea [[ziwa Victoria]] na kaskazini kelekea katika tambarare za Loita, {{Citation needed|date=Julai 2008}} kaskazini mwa [[mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara]]. Aina 16 tofauti ya Acacia yapo katika msitu huu, usambazaji wao ukiamuliwa na hali [["edaphic"]] na urefu wa udongo. Karibu na Ziwa Victoria kuna tambarare yenye mafuriko yaliyitokana na "lakebeds" za kale. Katika kaskazini magharibi, misitu ya Acacia yamebadilishwa na misitu ya "Terminalia-Combretum" yenye majani mapana, uliodhamiria kutokana na mabadiliko katika geologi. Eneo hili lina kiwango cha juu zaidi ya mvua katika mfumo na huunda kimbilio kwa kwa wanyama wanaohama mwisho wa msimu wa kiangazi. <ref> http://archive.is/20121209175953/http://webcache.googleusercontent.com/search?q=cache:j9xvfWrq0L0J:www.uoguelph.ca/ib/pdfs/Sinclair_2007_ConsBiol.pdf+acacia+trees+serengeti+fire&hl=en&ct=clnk&cd=6&gl=us</ref>
Karibu na Ziwa Victoria kuna tambarare yenye [[mafuriko]] yaliyotokana na "lakebeds" za kale. Katika kaskazini magharibi, misitu ya Acacia imebadilishwa na misitu ya "Terminalia-Combretum" yenye majani mapana, uliodhamiria kutokana na mabadiliko katika [[jiolojia]]. Eneo hili lina kiwango cha juu zaidi cha mvua katika mfumo na huunda [[kimbilio]] kwa wanyama wanaohama mwisho wa msimu wa [[kiangazi]]. <ref> http://archive.is/20121209175953/http://webcache.googleusercontent.com/search?q=cache:j9xvfWrq0L0J:www.uoguelph.ca/ib/pdfs/Sinclair_2007_ConsBiol.pdf+acacia+trees+serengeti+fire&hl=en&ct=clnk&cd=6&gl=us</ref>


Muinuko katika Serengeti huanzia mita 920 hadi 1850 na joto wastani kuanzia digrii 15 hadi digrii 25 "Celsius". Ingawa kwa kawaida hali ya hewa huwa joto na kavu, mvua hutokea katika misimu miwili ya mvua: Machi-Mei, na msimu mfupi katika Oktoba na Novemba. Kiasi cha mvua inatofautiana kutoka kiwango cha chini cha 508 mm katika upande wa "lee" ya miinuko ya Ngorongoro na kiwango cha juu cha 1,200 mm katika pwani ya Ziwa Victoria. <ref> http://www.glcom.com/hassan/serengeti.html</ref> Nyanda za juu, ambazo ni baridi kuliko tambarare na kufunikwa na misitu ya "montane", ndio alama ya mpaka wa mashariki ya bonde ambayo Serengeti uko.
[[Mwinuko]] katika Serengeti huanzia [[mita]] 920 hadi 1850 na [[joto]] wastani kuanzia [[digrii]] 15 hadi digrii 25 "Celsius". Ingawa kwa kawaida [[hali ya hewa]] huwa ya joto na kavu, mvua hutokea katika misimu miwili ya mvua: Machi-Mei, na msimu mfupi katika Oktoba na Novemba. Kiasi cha mvua inatofautiana kutoka kiwango cha chini cha 508 mm katika upande wa "lee" ya miinuko ya Ngorongoro na kiwango cha juu cha 1,200 mm katika [[pwani]] ya Ziwa Victoria. <ref> http://www.glcom.com/hassan/serengeti.html</ref> [[Nyanda za juu]], ambazo ni [[baridi]] kuliko tambarare na kufunikwa na misitu ya "montane", ndiyo alama ya [[mpaka]] wa mashariki ya bonde ambayo Serengeti uko.


Tambarare la Serengeti wazi ina miinuko ya "granite" inayojulikana kama "koppes". Miinuko haya ni matokeo ya shughuli kutokana na volkeno. "Koppies" hutoa makazi madogo kwa nyanda zisizo wanyamapori. "Koppe" moja unao uwezekano kuonekana kwa wageni huko Serengeti ni Simba Koppe (Lion Koppe). Serengeti ilitumika kama jukwaa utengeneza filamu ya "Disney" ya ''[[The Lion King]]'' na baadae uvumbuaji wa filamu za jukwaa.
Tambarare wazi ya Serengeti ina miinuko ya "granite" inayojulikana kama "koppes". Miinuko hiyo ni matokeo ya volkeno. "Koppies" hutoa makazi madogo kwa nyanda zisizo wanyamapori. "Koppe" moja inayoweza kuonekana kwa wageni huko Serengeti ni [[Simba Koppe]] (Lion Koppe). Serengeti ilitumika kama [[jukwaa]] kutengeneza filamu ya "Disney" ya ''[[The Lion King]]'' na baadaye uvumbuaji wa filamu za jukwaa.


Eneo hilo pia ni nyumbani kwa [[eneo lililohifadhiwa la Ngorongoro,]] ambayo ina "[[Olduvai Gorge]]", ambapo baadhi ya "hominid fossils" kongwe hupatikana, vilevile pia "[[Ngorongoro Crater]]", caldera ya volkeno kubwa zaidi ulimwenguni.
Eneo hilo pia ni nyumbani kwa [[eneo lililohifadhiwa la Ngorongoro]] ambalo lina "[[Olduvai Gorge]]", ambapo baadhi ya "hominid fossils" kongwe hupatikana, vilevile pia "[[Ngorongoro Crater]]", caldera ya volkeno kubwa zaidi ulimwenguni.


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 79: Mstari 101:


{{DEFAULTSORT:Serengeti}}
{{DEFAULTSORT:Serengeti}}
[[Jamii:Mbuga ya Tanzania]]
[[Jamii:Mbuga za Tanzania]]
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania]]
[[Jamii:Hifadhi za Taifa za Tanzania]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]

Pitio la 11:13, 15 Septemba 2014

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

katika Hifadhi ya Serengeti
Mahali pa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
MahaliTanzania
Coordinates

2°19′58″S 34°34′0″E / 2.33278°S 34.56667°E / -2.33278; 34.56667Coordinates: 2°19′58″S 34°34′0″E / 2.33278°S 34.56667°E / -2.33278; 34.56667{{#coordinates:}}: cannot have more than one primary tag per page

Eneo14,763 km2
Kuanzishwa1951
Ramani ya Tanzania Kaskazini pamoja na Serengeti
Pundamilia na nyumbu wakati wa kuhama
Machweo ya Serengeti

Hifadhi ya Serengeti ni eneo kubwa la mbuga na misitu katika Tanzania ya kaskazini hasa katika mikoa ya Mara na Arusha ikipakana na nchi ya Kenya.

Eneo lake ni 14,763 km² na kijiografia inaendelea ndani ya Kenya inapoitwa Hifadhi ya Masai Mara.

Kuna idadi kubwa ya wanyamapori. Serengeti pamoja na Masai Mara inajulikana hasa kwa uhamisho wa kila mwaka wa zaidi ya milioni moja ya nyumbu wanaovuka mto Mara. Kuna pia aina nyingi nyingine za wanyama, kati yao "watano wakubwa" wanaovuta watalii hasa yaani tembo, simba, chui, fisi, kifaru na nyati.

Eneo la hifadhi ya Ngorongoro liliwahi kuwa sehemu ya Serengeti hadi kutengwa kama hifadhi ya pekee. Bonde la Olduvai ambako mabaki ya zamadamu yalipatikana liko ndani ya Serengeti.

Mazingira ya Serengeti ni kanda ya kijiografia katika kaskazini-magharibi mwa Tanzania na inaenea kusini-magharibi mwa Kenya kati ya latitude 1 na 3 Kusini na longitude 34 na 36 Mashariki. Inaenea kiwango cha mraba kilometa 30,000 2.

Serengeti ina gura/uhamiaji ya wanyama kwenye ardhi kubwa na ndefu zaidi duniani,[1] ambao hua ni tukio wa nusu mwaka . Uhamiaji huo ni moja ya maajabu kumi ya asili ya ulimwengu ya kusafiri.

Kanda hii ina hifadhi za taifa na hifadhi mchezo kadhaa. Jina Serengeti limechukuliwa kutoka lugha ya Kimasai hasa, "Serengit" kumaanisha "Kiwara kisichoisha". [2] [3]

Inakadiriwa mamalia 70 kubwa na baadhi ya spishi 500 avifauna (yaani ndege) hupatikana huko. Tofauti hii ya juu upande wa spishi ni shughuli makazi mbalimbali kuanzia misitu ya riverine, mabwawa, kopjes mbuga na misitu. [4] Nyumbu bluu, swara, punda milia na nyati ni baadhi ya mamalia kubwa ambao kwa kawaida hupatikana katika kanda hii.

Karibu Oktoba, karibu wanyama wanaokula majani (si nyama) milioni 2 husafiri kutoka milima ya kaskazini kuelekea nyanda za kusini na kuvuka mto wa Mara katika harakati za mvua. Katika mwezi Aprili, wao hurejea kaskazini kwa kupitia magharibi, na kwa mara nyingine tena kuvuka Mto wa Mara. Jambo hili la mara kwa mara huitwa kwa Kiingereza "Circular migration" yaani uhamiaji mviringo. Nyumbu zaidi ya 250,000 pekee watakufa safarini kutoka Tanzania kwenda katika mbuga ya wanyama ya Masai Mara huko Kenya pande za juu, ambayo ni jumla ya maili 500. Kifo mara nyingi unasababishwa na maudhi au uchovu. [1] Uhamiaji huu umeonyeshwa katika filamu na programu nyingi za televisheni kote duniani.

Historia

Mvulana wa kimaasai (Moran au askari) anatembea ndani ya Serengeti na miinuko ya Ngorongoro iko nyuma.

Sehemu kubwa wa Serengeti hapo awali ilijulikana kama Maasailand kwa wageni.

Wamasai walijulikana kama shujaa wakali, na waliishi pamoja na wanyamapori huku wakila mifugo yao pekee.

Nguvu zao na sifa zilisababisha wasafiri kutoka Ulaya kutotumia wanyama na rasilimali ya nchi yao vibaya.

Janga la "rinderpest" na ukame wakati wa 1890 ulisababisha kupungua kwa idadi ya Wamasai na wanyama. Uwindaji haramu wa wanyamapori na ukosefu wa moto, ambayo yalikuwa matokeo ya shughuli za binadamu, yaliweka hatua ya maendeleo ya misitu na vichaka kwa miaka 30-50 ijayo.

Uongezekaji wa chafuo sasa ulisababisha kutokuwa kwa makazi ya binadamu katika eneo hili.

Moto, tembo, na nyumbu walikuwa na ushawishi mkubwa katika kuamua sasa muundo wa Serengeti. [5]

Mnamo miaka ya 1960, idadi ya binadamu ilivyoongezeka, moto, aidha kuwashwa kwa makusudi na Wamaasai ili kuongeza eneo ya malisho ya mifugo, au kwa ajali, ulisababisha kuchomeka kwa miche mipya ya miti.

Mvua nzito ilichangia ukuaji wa majani, ambao ulikuwa kama mafuta kwa moto wakati wa misimu mikavu ifuatayo. Miti mizee ya Acacia, ambayo huishi tu miaka 60-70, ilianza kufa. Awali tembo, ambao hula miti michanga na mizee, walilaumiwa kwa kumaliza misitu. Lakini majaribio yalionyesha kulikuwa na sababu nyingine muhimu zaidi. Wakati huo huo, idadi ya tembo ilipunguzwa kutoka 2,460 mwaka 1970 hadi 467 katika mwaka 1986 kutokana na uwindaji haramu. [6]

Mnamo miaka ya 1970 idadi ya nyumbu na nyati wa Afrika ilikuwa imeongezeka, na walikuwa wakipunguza idadi ya majani kwa kasi, na kusababisha upungufu wa mafuta ya kusambazaa moto. [7] kupunguka kwa ukali wa moto umesababisha Acacia kuwa imara tena. [5]

Hifadhi ya mazingira

Bara la Maasai lina mbuga ya wanyama bora zaidi Afrika Mashariki. [8] Serikali za Tanzania na Kenya hutunza idadi kadhaa ya maeneo yaliyochunwa: mbuga, maeneo ya hifadhi, mapori ya akiba, n.k., ambayo hutoa ulinzi wa kisheria kwa zaidi ya 80% ya Serengeti. [9]

Ol Doinyo Lengai, ikiwapo volkeno hai katika eneo la Serengeti, ni mlima wa moto pekee ambao bado hutoa "carbonatite lava". "Carbonatite lava", unapofichuliwa kutoka kwa hewa, hubadilisha rangi kutoka samawati hadi nyeusi na kufanana na "washing soda". Tabaka zito la jivu linaweza kugeuka kuwa hardpan iliotajirika na kalsiamu ngumu kama saruji baada ya kunyeshewa. Mizizi ya mti haiwezi kupenya safu hii, na kimsingi tambarare bila miti ya Serengeti, ambayo iko magharibi na upepo chini ya Ol Doinyo Lengai, ni matokeo. [10]

Miinuko ya mwamba, au "koppes", katika tambarare ya Serengeti.

Eneo la Kusini-Mashariki ambalo lipo katika kivuli mvua ya miinuko ya Ngorongoro na linajumuisha tambarare lenye majani mafupi bila miti na "dicot" tele ndogondogo. Udongo una rutuba kwa wingi, yakiwa juu ya "calcareous hardpan" fupi. "Gradient" ya urefu wa udongo kaskazini-mashariki ukipita tambarare husababisha mabadiliko katika jamii na herbaceous na nyasi refu.

Baadhi ya 70 km magharibi, misitu ya Acacia huonekana ghafla na kunyoosha magharibi kuelekea ziwa Victoria na kaskazini kuelekea katika tambarare za Loita, kaskazini mwa mbuga ya wanyama ya kitaifa ya Maasai Mara. Aina 16 tofauti ya Acacia zipo katika msitu huu, usambazaji wake ukiamuliwa na hali "edaphic" na urefu wa udongo.

Karibu na Ziwa Victoria kuna tambarare yenye mafuriko yaliyotokana na "lakebeds" za kale. Katika kaskazini magharibi, misitu ya Acacia imebadilishwa na misitu ya "Terminalia-Combretum" yenye majani mapana, uliodhamiria kutokana na mabadiliko katika jiolojia. Eneo hili lina kiwango cha juu zaidi cha mvua katika mfumo na huunda kimbilio kwa wanyama wanaohama mwisho wa msimu wa kiangazi. [11]

Mwinuko katika Serengeti huanzia mita 920 hadi 1850 na joto wastani kuanzia digrii 15 hadi digrii 25 "Celsius". Ingawa kwa kawaida hali ya hewa huwa ya joto na kavu, mvua hutokea katika misimu miwili ya mvua: Machi-Mei, na msimu mfupi katika Oktoba na Novemba. Kiasi cha mvua inatofautiana kutoka kiwango cha chini cha 508 mm katika upande wa "lee" ya miinuko ya Ngorongoro na kiwango cha juu cha 1,200 mm katika pwani ya Ziwa Victoria. [12] Nyanda za juu, ambazo ni baridi kuliko tambarare na kufunikwa na misitu ya "montane", ndiyo alama ya mpaka wa mashariki ya bonde ambayo Serengeti uko.

Tambarare wazi ya Serengeti ina miinuko ya "granite" inayojulikana kama "koppes". Miinuko hiyo ni matokeo ya volkeno. "Koppies" hutoa makazi madogo kwa nyanda zisizo wanyamapori. "Koppe" moja inayoweza kuonekana kwa wageni huko Serengeti ni Simba Koppe (Lion Koppe). Serengeti ilitumika kama jukwaa kutengeneza filamu ya "Disney" ya The Lion King na baadaye uvumbuaji wa filamu za jukwaa.

Eneo hilo pia ni nyumbani kwa eneo lililohifadhiwa la Ngorongoro ambalo lina "Olduvai Gorge", ambapo baadhi ya "hominid fossils" kongwe hupatikana, vilevile pia "Ngorongoro Crater", caldera ya volkeno kubwa zaidi ulimwenguni.

Marejeo

  1. 1.0 1.1 Partridge, Frank. "The fast show", The Independent (London), 2006-05-20. Retrieved on 2007-03-14. 
  2. Northern Tanzania with Kilimanjaro and Zanzibar, by Phillip Briggs, 2006, page 198. ISBN 1841621463.
  3. Maa (Maasai) Dictionary
  4. 403 Forbidden
  5. 5.0 5.1 Serengeti II: Dynamics, Management, and Conservation of an Ecosystem. Anthony Ronald Entrican Sinclair, Peter Arcese. 1995. University of Chicago Press. Kurasa 73-76. ISBN 0226760316.
  6. Serengeti II. Sinclair, Arcese. Ukurasa 76. ISBN 0226760316.
  7. http://www.sciencemag.org/cgi/content/full/278/5346/2059
  8. Africa's Great Rift Valley. Nigel Pavitt. 2001. Ukurasa 122. Harry S. Abrams, Incorporated, New York. ISBN 0-8109-0602-3.
  9. http://64.233.169.104/search?q=cache:rss9ABx99HUJ:www.ath.aegean.gr/srcosmos/showpub.aspx%3Faa%3D8868+serengeti+ecosystem+kenya&hl=en&ct=clnk&cd=4&gl=us
  10. Africa's Great Rift Valley. Pavitt, kurasa 130, 134.
  11. http://archive.is/20121209175953/http://webcache.googleusercontent.com/search?q=cache:j9xvfWrq0L0J:www.uoguelph.ca/ib/pdfs/Sinclair_2007_ConsBiol.pdf+acacia+trees+serengeti+fire&hl=en&ct=clnk&cd=6&gl=us
  12. http://www.glcom.com/hassan/serengeti.html

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Coordinates: 2°19′51″S 34°50′0″E / 2.33083°S 34.83333°E / -2.33083; 34.83333{{#coordinates:}}: cannot have more than one primary tag per page