Sumeri : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 87 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35355 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|Hati ya Kisumeri yaonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]]]]
[[Picha:Sales contract Shuruppak Louvre AO3760.jpg|thumb|300px|[[Hati]] ya [[Kisumeri]] inayoonyesha [[mapatano]] ya kuuza [[nyumba]] na [[shamba]]. Maandishi ni [[mwandiko wa kikabari]].]]
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.
'''Sumeri''' ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika [[Asia ya Magharibi]] na hasa [[Mesopotamia]] ([[Iraq]] ya leo). Labda ilikuwa [[utamaduni]] wa kwanza wa kujenga miji.


Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye rutba kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka 3,500 [[KK]]. Elimu ya akiolojia iliweza kuthebitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].
Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye [[rutuba]] kati ya mito [[Frati]] na [[Hidekeli]] tangu mwaka [[3500 KK]]. [[Elimu]] ya [[akiolojia]] iliweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza [[maandishi]].


Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye vibao vya udongo mbichi wa ufinyanzi na kuvichoma. Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika masaa 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.
Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia [[mwandiko wa kikabari]] kwenye vibao vya [[udongo]] mbichi wa [[ufinyanzi]] na kuvichoma.
Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa [[kalenda]] za leo kwa kugawa [[siku]] katika [[saa]] 24 na [[saa]] katika [[dakika]] 60.


Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].
Wasumeri waliishi katika [[dola-mji|dola-miji]] iliyotawaliwa na [[mfalme|wafalme]] au ma[[kuhani]].
Mstari 13: Mstari 15:
[[Jamii:Mesopotamia]]
[[Jamii:Mesopotamia]]
[[Jamii:Historia ya Iraq]]
[[Jamii:Historia ya Iraq]]
[[Jamii:Ustaarabu]]


{{Link FA|ka}}
{{Link FA|ka}}

Pitio la 06:52, 14 Septemba 2014

Hati ya Kisumeri inayoonyesha mapatano ya kuuza nyumba na shamba. Maandishi ni mwandiko wa kikabari.

Sumeri ilikuwa kati ya tamaduni za kwanza za juu katika Asia ya Magharibi na hasa Mesopotamia (Iraq ya leo). Labda ilikuwa utamaduni wa kwanza wa kujenga miji.

Sumeri ilianzishwa na kuendelea kwenye nchi yenye rutuba kati ya mito Frati na Hidekeli tangu mwaka 3500 KK. Elimu ya akiolojia iliweza kuthibitisha ya kwamba Wasumeri walijenga miji na kuendeleza maandishi.

Maandishi yao yamehifadhiwa kwa sababu waliandika mengi kwa kutumia mwandiko wa kikabari kwenye vibao vya udongo mbichi wa ufinyanzi na kuvichoma.

Imetambuliwa pia ya kwamba waliweka misingi muhimu kwa kalenda za leo kwa kugawa siku katika saa 24 na saa katika dakika 60.

Wasumeri waliishi katika dola-miji iliyotawaliwa na wafalme au makuhani.

Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sumeri kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA