Samuel Eliot Morison : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Samuel Eliot Morison''' (9 Julai, 1887 – 15 Mei, 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea '''Tuzo ya Pulitzer''' mara mbi... |
d robot Adding: fr:Samuel Eliot Morison |
||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
[[en:Samuel Eliot Morison]] |
[[en:Samuel Eliot Morison]] |
||
[[fr:Samuel Eliot Morison]] |
Pitio la 20:26, 24 Novemba 2007
Samuel Eliot Morison (9 Julai, 1887 – 15 Mei, 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, kwanza mwaka wa 1943 kwa wasifu yake ya Kristoforo Kolumbus, na tena 1960 kwa wasifu yake ya John Paul Jones.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |