Songea (mji) : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q794813 (translate me) |
d fixing dead links |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
}} |
}} |
||
'''Songea''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]]. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 <ref>[http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban]</ref>. |
'''Songea''' ni mji nchini [[Tanzania]] ambao ni makao makuu ya [[Mkoa wa Ruvuma]]. Eneo la mji ni [[wilaya ya Songea Mjini]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 <ref>[http://web.archive.org/web/20030503125307/http://www.tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban.htm Tanzania.go.tz/census/districts/songeaurban]</ref>. |
||
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua. |
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia [[Njombe]] hadi barabara kuu ya [[Dar es Salaam]] - [[Mbeya]]. Barabara ya kwenda pwani kupitia [[Tunduru]] na [[Masasi]] ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua. |
Pitio la 06:42, 23 Agosti 2014
Songea | |
Mahali pa mji wa Songea katika Tanzania |
|
Majiranukta: 10°40′48″S 35°39′0″E / 10.68000°S 35.65000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Ruvuma |
Wilaya | Songea Mjini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 126,449 |
Songea ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Ruvuma. Eneo la mji ni wilaya ya Songea Mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 131,336 [1].
Kuna barabara ya lami kutoka Songea kupitia Njombe hadi barabara kuu ya Dar es Salaam - Mbeya. Barabara ya kwenda pwani kupitia Tunduru na Masasi ni mbaya mara nyingi haipitiki wakati wa mvua.
Jiografia
Mji uko kwenye kimo cha m 1210 juu ya UB katika nchi ya Ungoni kwenye nyanda za juu za kusini za Tanzania. Chanzo cha mto Ruvuma kipo karibu na mji.
Historia
Jina la Songea ni kumbukumbu ya chifu Songea wa Wangoni aliyekuwa na ikulu yake hapa wakati wa kuenea kwa ukoloni wa Ujerumani akauawa na Wajerumani wa kati wa vita ya majimaji.
Mji wa Songea (iliyoandikwa Ssongea wakati ule) ulianzishwa mwaka 1897 kama kituo cha kijeshi cha Kijerumani. Ukakua kuwa makao makuu ya utawala wa mkoa Songea wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani.
Mazingira ya mji yaliathiriwa vibaya na vita ya majimaji na ukandamizaji wake na Wajerumani.
Songea ikaendelea kuwa makao makuu ya mkoa wakati wa uatwala wa Uingereza katika Tanganyika na baada ya uhuru katika Tanzania huria.
Marejeo
Kata za Wilaya ya Songea Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania | ||
---|---|---|
Bombambili | Lilambo | Lizaboni | Majengo | Matarawe | Mateka | Matogoro | Mfaranyaki | Misufini | Mjimwema | Mletele | Msamala | Mshangano | Mwengemshindo | Ndilimalitembo | Ruhuwiko | Ruvuma | Seedfarm | Songea Mjini | Subira | Tanga |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Songea (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |