Paul Ehrlich : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 50 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q57089 (translate me)
Same image, better rendering (GlobalReplace v0.3)
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Paul Ehrlich.png|thumb|right|Paul Ehrlich]]
[[Picha:Paul Ehrlich 4.jpg|thumb|right|Paul Ehrlich]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]



Pitio la 09:54, 7 Julai 2014

Faili:Paul Ehrlich 4.jpg
Paul Ehrlich

Paul Ehrlich (14 Machi 185420 Agosti 1915) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Pamoja na Sahachiro Hata aligundua dawa ya kutibu kaswende. Mwaka wa 1908, pamoja na Ilya Mechnikov alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Ehrlich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.