Enameli ya jino : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumbnail|Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino '''Enameli ya jino''' ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya u...'
 
kiungo
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino]]
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino]]
'''Enameli ya jino''' ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au [[tajino]].
'''Enameli ya jino''' ni sehemu ya [[jino]] inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au [[tajino]].

Enameli hii inapatikana kwa meno ya [[binadamu]] na [[wanyama]] wengi pamoja na [[samaki]] kadhaa. Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya chakula) au kutokana na vyakula na vinjwaji vyenye sukari nyingi vinavyosababishi [[karisi]] (kuoza kwa meno).

Pitio la 11:32, 5 Julai 2014

Nafasi ya enameli kwenye muundo wa jino

Enameli ya jino ni sehemu ya jino inayoonekana tukifungua kinywa. Ni dutu ya ufupa mgumu sana inayofunika na kulinda kichwa cha jino au tajino.

Enameli hii inapatikana kwa meno ya binadamu na wanyama wengi pamoja na samaki kadhaa. Enameli inaweza kuharibika kwa ajali, kutafuna vitu vigumu (kama kung'ata jiwe ndani ya chakula) au kutokana na vyakula na vinjwaji vyenye sukari nyingi vinavyosababishi karisi (kuoza kwa meno).