Tofauti kati ya marekesbisho "Pasifiki"

Jump to navigation Jump to search
4 bytes added ,  miaka 7 iliyopita
no edit summary
d (Masahihisho aliyefanya Simba Hekima (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot)
Kuna visiwa zaidi ya 25,000 katika Pasifiki vingi ni vidogo sana.
 
Bahari za pembeni ziko hasa upande wa Asia / Australia. Kati ya hizo ni: [[Bahari ya Calebes]], [[Bahari ya Uchina ya Kusini]], na [[Bahari ya JapanMashariki]].
 
Jina la Pasifiki (Kilatini: yenye amani, yaani kimya) limetokana na Wazungu wa kwanza waliovuka bahari hii mwaka 1520 [[BK]] kutoka [[Amerika ya Kusini]] hadi [[Ufilipino]] wakaikuta kuwa ni bahari tulivu. Lakini Pasifiki inaweza kuwa na [[dhoruba]] kali sana. Ni eneo lenye [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] mengi yanayosababisha mawimbi haribifu ya [[tsunami]] ambayo yalimaliza miji na vijiji ufukoni.

Urambazaji