Nge-mjeledi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
Masahihisho
Mstari 17: Mstari 17:
** [[Typopeltinae]]
** [[Typopeltinae]]
}}
}}
'''Nge-mjeledi''' (kutoka [[Kiing.]] [[w:Thelyphonida|whip scorpion]]) ni [[arithropodi]] wa [[oda]] [[Thelyphonida]] katika ngeli [[Arakinida|Arachnida]] wafananao na [[nge]] wa kawaida. Kama hawa wana [[mguu|miguu]] minane na [[kelisera]] ([[w:chelicera|chelicerae]]) zenye gando. Mjeledi wa jina lao ni aina ya mkia mrefu na mwembamba. Kama kawaida kiwiliwili chao kina sehemu mbili: [[kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax| cephalothorax]]: [[kichwa]] na [[kidari]]) na [[fumbatio]] zilizoungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija. Nge-mjeledi wana [[jicho|macho]] manane, mawili mbele ya kefalotoraksi na matatu kwa kila upande wa [[kichwa]]. Pedipalpi zao zinafanana na zile za nge, lakini zina mwiba nyuma ya gando na [[neno|maneno]] magumu kwa kitako chao ambayo hutumika kwa kukamua mawindo. Miguu sita tu hutumika kwa kutembea. Jozi ya kwanza imekuwa mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasio|vipapasio]]. Nge-mjeledi hawana [[sumu]] lakini wana [[tezi|matezi]] yanayotoa mchanganyiko wa [[asidi]] ya asetiki na asidi ya kapriliki wakisumbuliwa. Hula arithropodi wengine, pengine [[nyungunyungu]] na [[konokono uchi|makonokono uchi]] pia.
'''Nge-mjeledi''' (kutoka [[Kiing.]] [[w:Thelyphonida|whip scorpion]]) ni [[arithropodi]] wa [[oda]] [[Thelyphonida]] katika ngeli [[Arakinida|Arachnida]] wafananao na [[nge]] wa kawaida. Kama hawa wana [[mguu|miguu]] minane na [[pedipalpi]] zenye gando. Mjeledi wa jina lao ni aina ya mkia mrefu na mwembamba. Kama kawaida kiwiliwili chao kina sehemu mbili: [[kefalotoraksi]] ([[w:cephalothorax|cephalothorax]]: [[kichwa]] na [[kidari]]) na [[fumbatio]] zilizoungwa kwa [[pediseli]] ([[w:pedicel|pedicel]]) nyembamba kwa umbo wa mrija. Nge-mjeledi wana [[jicho|macho]] manane, mawili mbele ya kefalotoraksi na matatu kwa kila upande wa [[kichwa]]. Pedipalpi zao zinafanana na zile za nge, lakini zina mwiba nyuma ya gando na [[neno|maneno]] magumu kwa kitako chao ambayo hutumika kwa kukamua mawindo. Miguu sita tu hutumika kwa kutembea. Jozi ya kwanza imekuwa mirefu kuliko mingine na hutumika kama [[kipapasio|vipapasio]]. Nge-mjeledi hawana [[sumu]] lakini wana [[tezi|matezi]] yanayotoa mchanganyiko wa [[asidi]] ya asetiki na asidi ya kapriliki wakisumbuliwa. Hula arithropodi wengine, pengine [[nyungunyungu]] na [[konokono uchi|makonokono uchi]] pia.


==Picha==
==Picha==

Pitio la 20:44, 19 Juni 2014

Nge-mjeledi
Nge-mjeledi (Mastigoproctus giganteus) akionyesha pedipalpi na mjeledi
Nge-mjeledi (Mastigoproctus giganteus) akionyesha pedipalpi na mjeledi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Chelicerata
Ngeli: Arachnida
Oda: Thelyphonida
Ngazi za chini

Familia 1 na nusufamilia 4:

Nge-mjeledi (kutoka Kiing. whip scorpion) ni arithropodi wa oda Thelyphonida katika ngeli Arachnida wafananao na nge wa kawaida. Kama hawa wana miguu minane na pedipalpi zenye gando. Mjeledi wa jina lao ni aina ya mkia mrefu na mwembamba. Kama kawaida kiwiliwili chao kina sehemu mbili: kefalotoraksi (cephalothorax: kichwa na kidari) na fumbatio zilizoungwa kwa pediseli (pedicel) nyembamba kwa umbo wa mrija. Nge-mjeledi wana macho manane, mawili mbele ya kefalotoraksi na matatu kwa kila upande wa kichwa. Pedipalpi zao zinafanana na zile za nge, lakini zina mwiba nyuma ya gando na maneno magumu kwa kitako chao ambayo hutumika kwa kukamua mawindo. Miguu sita tu hutumika kwa kutembea. Jozi ya kwanza imekuwa mirefu kuliko mingine na hutumika kama vipapasio. Nge-mjeledi hawana sumu lakini wana matezi yanayotoa mchanganyiko wa asidi ya asetiki na asidi ya kapriliki wakisumbuliwa. Hula arithropodi wengine, pengine nyungunyungu na makonokono uchi pia.

Picha