Uprotestanti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
{{legend|#555555|Zaidi ya milioni 50}}
{{legend|#555555|Zaidi ya milioni 50}}
{{legend|#702963|Zaidi ya milioni 20}}
{{legend|#702963|Zaidi ya milioni 20}}
{{legend|#B53389|Zaidi ya milioni}}
{{legend|#B53389|Zaidi ya milioni 10}}
{{legend|#DF73FF|Zaidi ya milioni 5}}
{{legend|#DF73FF|Zaidi ya milioni 5}}
{{legend|lavenderblush|More than 1 million}}]]'''Uprotestanti''' ni aina ya [[Ukristo]] iliyotokana na [[Kanisa Katoliki]] huko [[Ulaya Kaskazini]] katika [[karne XVI]] kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "[[Matengenezo ya Kiprotestanti]]". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni [[Martin Luther]] na [[Yohane Kalvini]].
{{legend|lavenderblush|More than 1 million}}]]'''Uprotestanti''' ni aina ya [[Ukristo]] iliyotokana na [[Kanisa Katoliki]] huko [[Ulaya Kaskazini]] katika [[karne XVI]] kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "[[Matengenezo ya Kiprotestanti]]". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni [[Martin Luther]] na [[Yohane Kalvini]].

Pitio la 10:32, 18 Juni 2014

Wahusika wakuu wa Matengenezo ya Kiprotestanti: Martin Luther na John Calvin wameonyesha katika mimbari ya kanisa la Mikolow, Poland.
Ramani inayoonyesha asilimia ya Waprotestanti kati ya wakazi wa kila nchi duniani.
Ramani inayoonyesha idadi ya Waprotestanti kwa kila nchi duniani mwaka 2010.      Zaidi ya milioni 150      Zaidi ya milioni 50      Zaidi ya milioni 20      Zaidi ya milioni 10      Zaidi ya milioni 5      More than 1 million

Uprotestanti ni aina ya Ukristo iliyotokana na Kanisa Katoliki huko Ulaya Kaskazini katika karne XVI kufuatana na tapo la kidini na la kisiasa maarufu kwa jina la "Matengenezo ya Kiprotestanti". Wahusika wakuu wa tapo hilo ni Martin Luther na Yohane Kalvini.

Asili ya jina

Mwaka 1529, kikao cha Bunge la Speyer (Ujerumani) lilikataza tena uenezaji wa Matengenezo katika Dola Takatifu la Kiroma mpaka Mtaguso mkuu utakaporudisha utaratibu ndani ya Kanisa.

Lakini watawala waliomuunga mkono Luther walitoa hati ya pamoja inayoanza na maneno Protestamur, yaani Tunapinga.

Mwaka 1555 Amani ya Augsburg ilipitisha kauli ya kwamba cuius regio, eius religio, yaani kila raia anapaswa kufuata madhehebu ya eneo anamoishi, kadiri ilivyopangwa na mtawala wake, la sivyo ni lazima ahame.

Teolojia

Uprotestanti unagawanyika katika maelfu ya madhehebu tofauti, lakini inawezekana kutambua mambo kadhaa yanayolingana katika hayo yote:

Uenezi

Leo Waprotestanti wote duniani wanakadiriwa kuwa kati ya 800,000,000 na 1,000,000,000.

Tanbihi

Marejeo

  • Cook, Martin L. (1991). The Open Circle: Confessional Method in Theology. Minneapolis, Minn.: Fortress Press. xiv, 130 p. N.B.: Discusses the place of Confessions of Faith in Protestant theology, especially in Lutheranism. ISBN 0-8006-2482-3
  • Dillenberger, John, and Claude Welch (1988). Protestant Christianity, Interpreted through Its Development. Second ed. New York: Macmillan Publishing Co. ISBN 0-02-329601-1
  • McGrath, Alister E. (2007). Christianity's Dangerous Idea. New York: HarperOne. 
  • Nash, Arnold S., ed. (1951). Protestant Thought in the Twentieth Century: Whence & Whither? New York: Macmillan Co.
  • Noll, Mark A. (2011). Protestantism: A Very Short Introduction. Oxford: Oxford University Press. 

Viungo vya nje

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina dictionary definitions (word meanings):
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uprotestanti kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.