Pai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:Pi eq C over d.svg|alt=A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference|thumb|right|Uwiano wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]] ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.]]
'''Pi''' ni [[namba]] ya [[duara]].
'''Pi''' ([[jina]] la [[herufi]] ya [[Kigiriki]] '''π''') ni [[namba]] ya [[duara]] kwa maana ya [[uwiano]] wa [[urefu]] wa [[mzunguko]] na ule wa [[kipenyo]].

Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].

Imejulikana hasa kama namba ya duara kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....
Imejulikana hasa kama namba ya duara ina thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.
22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Pitio la 09:17, 17 Juni 2014

A diagram of a circle, with the width labeled as diameter, and the perimeter labeled as circumference
Uwiano wa urefu wa mzunguko na ule wa kipenyo ni 3 na kitu. Uwiano kamili unaitwa π, pi.

Pi (jina la herufi ya Kigiriki π) ni namba ya duara kwa maana ya uwiano wa urefu wa mzunguko na ule wa kipenyo.

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, Pi pia inatumika kama kifupisho kwa ajili ya maarifa na dhana za hesabu na fisikia.

Imejulikana hasa kama namba ya duara ina thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Wanahisabati duniani husheherekea sikukuu ya Pi tarehe 14 Machi au pia 22 Julai.